Pre GE2025 Yaliyojiri kwenye Maandamano ya CHADEMA 23/9/2024
Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kenya maaskari walikuwepo, watu sio waoga na watu waliandamama

Huko Nchi za afrika kaskazini kwa waarabu maaskari walikuwepo (arab spring) na watu waliandamana mpaka viongozi walitoka madarakani.


Sri Lanka maaskari walikuwepo, watu waliandamana mpaka viongozi walitoka madarakani


Bangladesh maaskari walikuwepo, watu waliandamana mpaka viongozi walitoka madarakani.


Maaskari kuwepo Tanzania sio changamoto.


Narudia tena
Hakuna mtu muoga sana kama Mtanzania, hata mimi ni muoga sana.
Pamoja na hayo, kuna nchi wananchi wanalindwa waandamane kwa amani. Jana ulisikia Muliro kasemaje, na wewe uingir barabarani unajua kitakukuta nini?
 
Mtanzania sio wa kupanga naye jambo
🤣 panga ishu za kula K, au kula msambwanda Mtanzania hatakuangusha. Pesa ya gesti itapatikana hapo hapo 🤣

Au uza dawa za kuongeza nguvu za kiume, kurefusha, kunenepesha, kuimarisha, kuchelewesha kukojoa, dawa ya kupeleka moto masaa matatu 🤣🤣🤣 lazima atakuwa serious
 
Ipo hivi, CHADEMA walitangaza maandamano wakakaa kimya na kuendelea na shughuli zao za kila siku. Lakini tangu siku ile ya kutangazwa maandamano Polisi wamekuwa wakizunguka huku na kule mitaa yote ya Dar es salaam na hata Mikoa mingine.
Wamebeba silaha nzito nzito, mbwa, magari ya washawasha nk. Baadhi ya polisi yawezekana wametoka mikoa mingine.
Ebu tujiulize kidogo;
*Katika mkasa huu, nani mwoga zaidi?
*Nani ametumia gharama kubwa zaidi?
*Nani amedharaulika zaidi?
*Kimataifa nani amajijenga zaidi na nani amedharaulika zaidi?
*Kwa tathmini ya haraka, CHADEMA wana akili zaidi na wamejijenga zaidi kuliko watesi wao.
samia amani.png
 
Back
Top Bottom