Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Nakaziaakina Mbowe waache ujinga wa kutetea watanzania. watanzania wengi ni watu wa hovyo. kila mtu apambane na hali yake. wa kufa afe, wa kutoboa atoboe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakaziaakina Mbowe waache ujinga wa kutetea watanzania. watanzania wengi ni watu wa hovyo. kila mtu apambane na hali yake. wa kufa afe, wa kutoboa atoboe.
My Take
Aliyetangaza Maandamano kakimbilia Arusha 😂😂
View: https://x.com/Jambotv_/status/1838111467574296603?t=Z5PAmlTw66szo0RR4X_Zwg&s=19
Pamoja na hayo, kuna nchi wananchi wanalindwa waandamane kwa amani. Jana ulisikia Muliro kasemaje, na wewe uingir barabarani unajua kitakukuta nini?Kenya maaskari walikuwepo, watu sio waoga na watu waliandamama
Huko Nchi za afrika kaskazini kwa waarabu maaskari walikuwepo (arab spring) na watu waliandamana mpaka viongozi walitoka madarakani.
Sri Lanka maaskari walikuwepo, watu waliandamana mpaka viongozi walitoka madarakani
Bangladesh maaskari walikuwepo, watu waliandamana mpaka viongozi walitoka madarakani.
Maaskari kuwepo Tanzania sio changamoto.
Narudia tena
Hakuna mtu muoga sana kama Mtanzania, hata mimi ni muoga sana.
🤣 panga ishu za kula K, au kula msambwanda Mtanzania hatakuangusha. Pesa ya gesti itapatikana hapo hapo 🤣Mtanzania sio wa kupanga naye jambo
Ipo hivi, CHADEMA walitangaza maandamano wakakaa kimya na kuendelea na shughuli zao za kila siku. Lakini tangu siku ile ya kutangazwa maandamano Polisi wamekuwa wakizunguka huku na kule mitaa yote ya Dar es salaam na hata Mikoa mingine.
Wamebeba silaha nzito nzito, mbwa, magari ya washawasha nk. Baadhi ya polisi yawezekana wametoka mikoa mingine.
Ebu tujiulize kidogo;
*Katika mkasa huu, nani mwoga zaidi?
*Nani ametumia gharama kubwa zaidi?
*Nani amedharaulika zaidi?
*Kimataifa nani amajijenga zaidi na nani amedharaulika zaidi?
*Kwa tathmini ya haraka, CHADEMA wana akili zaidi na wamejijenga zaidi kuliko watesi wao.
Acha visingizio, sema tu wewe ni Muoga tu 🤣Tukiandama hiyo hali ngumu inaisha? Nnihakikishie hilo niingie mtaani!!!
Ila unipe picha yako ili maisha yakiendelea kuwa magumu nisipate shida ya kukutafuta!! Ahahahahaha!!!
Polisi wameandamana vizuri snMikocheni njia zote zimefungwa kuelekea nyumbani kwa Mwenyekiti 😄
Aisee,2000 Wana Nini Cha mno... mbona ndo mpo wengi mnoKutoboa ni mpaka walizoozaliwa 1999 kurudi nyuma watoweke wooote
Siku kukitokea uvunjifu wa amani kwa sababu za wachochezi wa kikabila kama wewe utajuta kuzaliwa. Epuka kuingiza ukabila na udini katika siasa za nchi.Hakuna mtu mwenye akili ataandamana kisa Wachaga.
Kila mtu apambane na hali yake 🤣Nakazia
Makamanda mbona siwaoni
Niko hapa morocco darajani, hujaona nimevaa shati jekundu lenye nembo ya M4C?niko Morocco Airtel mko wap kamanda?🤣