Pre GE2025 Yaliyojiri kwenye Maandamano ya CHADEMA 23/9/2024
Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hakuna mtu muoga sana kama Mtanzania, hata mimi ni muoga sana.

Hata hao askari wenyewe ni waoga tu. Kama wasingekuwa waoga wangekataa kutumika na ccm. Au wangekaza/wangekataa kukubali maagizo toka juu.

Bado hakijatokea kizazi ambacho kipo tayari kupigwa, kufungwa, kufa juu ya masuala ya kisiasa.

Hakuna vijana wa kufatilia au kutaka kuhusika na masuala ya aina hiyo.
Vijana wako bize na mipira, miziki, mitandao,mikeka ya kubeti, minguvu ya kiume, mapenzi, kukata mauno, matamasha, tamthilia na misambwanda

Narudia tena

Hakuna mtu muoga sana kama Mtanzania, hata mimi ni muoga sana.
samia amani.png
 
Pamoja na hayo, kuna nchi wananchi wanalindwa waandamane kwa amani. Jana ulisikia Muliro kasemaje, na wewe uingir barabarani unajua kitakukuta nini?
Nani yupo tayari kupokea kipigo cha mbwa Koko, kufungwa, kuvunjwa, kufa?

Acha blah blah blah, tuseme ukweli tu kuwa sisi watanzania ni waoga mno, hata mimi ni muoga sana 🤣

Mimi ni Muoga sana, wewe je?
 
Hakuna mtu muoga sana kama Mtanzania, hata mimi ni muoga sana.

Hata hao askari wenyewe ni waoga tu. Kama wasingekuwa waoga wangekataa kutumika na ccm. Au wangekaza/wangekataa kukubali maagizo toka juu.

Bado hakijatokea kizazi ambacho kipo tayari kupigwa, kufungwa, kufa juu ya masuala ya kisiasa.

Hakuna vijana wa kufatilia au kutaka kuhusika na masuala ya aina hiyo.
Vijana wako bize na mipira, miziki, mitandao,mikeka ya kubeti, minguvu ya kiume, mapenzi, kukata mauno, matamasha, tamthilia na misambwanda

Narudia tena

Hakuna mtu muoga sana kama Mtanzania, hata mimi ni muoga sana.
Mtanzania anataka kula bata, hayupo tayari kujitoa mhanga haswa akijua kuwa anatumika tu kama 'mtaji' wa wanasiasa wabinafsi.
 
Polisi wanasaidia kuandamana mikoa yote na hasa Dar huku wamebeba mizigo mizito huku wamevaa mavazi yanayolowesha pumbu kwa jasho! Nashauri chadema watangaze kuendelea na maandamano Dar kwa siku 30 na baadaye watangaze kuhamia Mwanza. Arusha, Mbeya. Yaendelee kucheza shere! hayo mabumunda
Ahahahahaha! Kama wewe ni mmoja wa waandamanaji basi naionea huruma sana Chadema!
 
Nimecheka kwa nguvu, hapo ndio Makonda anaona amecheza bonge la mindgame🤣 Kuna watu bado wanamuamini Makonda na jeshi la polisi wakitoa taarifa? Kama rais anasema ana bonge la intelijensia kisha anarmtoa ushahidi wa clip ya Slaa ya miaka kibao iliyoko mitandaoni, hapo bado mtapata wa kuamini huo utoto wa Makonda?
 
🤣
Acha usanii, hakuna mtu anayemkubali hata wewe kimoyomoyo haumkubali. Ila kwakuwa unafukuzia fursa au uteuzi ndio maana unasifiasifia. Na uoga pro max ulionao ndio maana unasifiasifia mno

Ila tuseme ukweli tu, sisi watanzania ni waoga mno, hata mimi ni muoga sana 🤣

Mimi ni Muoga sana, wewe je?
 
Back
Top Bottom