Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 15,133
- 11,914
Ahahahahaha!!Jina lako tu linasadifu huna uwezo wa kujadili na mimi,kamalizie shule
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahahahahaha!!Jina lako tu linasadifu huna uwezo wa kujadili na mimi,kamalizie shule
Hakuna mtu muoga sana kama Mtanzania, hata mimi ni muoga sana.
Hata hao askari wenyewe ni waoga tu. Kama wasingekuwa waoga wangekataa kutumika na ccm. Au wangekaza/wangekataa kukubali maagizo toka juu.
Bado hakijatokea kizazi ambacho kipo tayari kupigwa, kufungwa, kufa juu ya masuala ya kisiasa.
Hakuna vijana wa kufatilia au kutaka kuhusika na masuala ya aina hiyo.
Vijana wako bize na mipira, miziki, mitandao,mikeka ya kubeti, minguvu ya kiume, mapenzi, kukata mauno, matamasha, tamthilia na misambwanda
Narudia tena
Hakuna mtu muoga sana kama Mtanzania, hata mimi ni muoga sana.
My Take
Aliyetangaza Maandamano kakimbilia Arusha 😂😂
View: https://x.com/Jambotv_/status/1838111467574296603?t=Z5PAmlTw66szo0RR4X_Zwg&s=19
Watanganyika ni waoga kama kondoo.Waiteni wakenya wawasaidie, hapa boma polisi kidogo tu watu wamekula kona
Kuna haja Gani watu waandamane na kupigiwa, au kuuwawa? busara zinasema mnairisha Hadi siku ingine.Kwani lengo la Chadema kutangaza maandamano ilikuwa ni Polisi kukusanyika Dar? Chadema walisema ije mvua, lije jua wataandama. Sasa sababu za eti Polisi wamekusanyika zinatoka wapi?
Sisi tutishiane tu huku mitandaoniKila mtu apambane na hali yake 🤣
Nani yupo tayari kupokea kipigo cha mbwa Koko, kufungwa, kuvunjwa, kufa?Pamoja na hayo, kuna nchi wananchi wanalindwa waandamane kwa amani. Jana ulisikia Muliro kasemaje, na wewe uingir barabarani unajua kitakukuta nini?
Hii ndio taarifa iliyokoko Global Tv kwamba Mwenyekiti wa Chadema yuko nyumbani kwake na nje kuna Walinzi wa Amani
Ahsanteni sana
Mtanzania anataka kula bata, hayupo tayari kujitoa mhanga haswa akijua kuwa anatumika tu kama 'mtaji' wa wanasiasa wabinafsi.Hakuna mtu muoga sana kama Mtanzania, hata mimi ni muoga sana.
Hata hao askari wenyewe ni waoga tu. Kama wasingekuwa waoga wangekataa kutumika na ccm. Au wangekaza/wangekataa kukubali maagizo toka juu.
Bado hakijatokea kizazi ambacho kipo tayari kupigwa, kufungwa, kufa juu ya masuala ya kisiasa.
Hakuna vijana wa kufatilia au kutaka kuhusika na masuala ya aina hiyo.
Vijana wako bize na mipira, miziki, mitandao,mikeka ya kubeti, minguvu ya kiume, mapenzi, kukata mauno, matamasha, tamthilia na misambwanda
Narudia tena
Hakuna mtu muoga sana kama Mtanzania, hata mimi ni muoga sana.
Ahahahahaha! Kama wewe ni mmoja wa waandamanaji basi naionea huruma sana Chadema!Polisi wanasaidia kuandamana mikoa yote na hasa Dar huku wamebeba mizigo mizito huku wamevaa mavazi yanayolowesha pumbu kwa jasho! Nashauri chadema watangaze kuendelea na maandamano Dar kwa siku 30 na baadaye watangaze kuhamia Mwanza. Arusha, Mbeya. Yaendelee kucheza shere! hayo mabumunda
My Take
Aliyetangaza Maandamano kakimbilia Arusha 😂😂
View: https://x.com/Jambotv_/status/1838111467574296603?t=Z5PAmlTw66szo0RR4X_Zwg&s=19
My Take
Aliyetangaza Maandamano kakimbilia Arusha 😂😂
View: https://x.com/Jambotv_/status/1838111467574296603?t=Z5PAmlTw66szo0RR4X_Zwg&s=19
Kazi kweli kweli🤣 panga ishu za kula K, au kula msambwanda Mtanzania hatakuangusha. Pesa ya gesti itapatikana hapo hapo 🤣
Au uza dawa za kuongeza nguvu za kiume, kurefusha, kunenepesha, kuimarisha, kuchelewesha kukojoa, dawa ya kupeleka moto masaa matatu 🤣🤣🤣 lazima atakuwa serious
Hao wa 2000, wako bize kusaka K na kufukuzia misambwanda 🤣Aisee,2000 Wana Nini Cha mno... mbona ndo mpo wengi mno
Kabisa na. Hata nia ovu ni rahisi kutekelezwaNa kuhama nyumbani kwenda kulala sehemu nyingine ni kama kukubali kuwa wewe ni mhalifu...!
Yuko sahihi sana kulala kwakeKama alilala nyumbani kwake kuamkia siku ya maandamano kafeli sana.
Waambie Police waondoke hapo Makonda kasema Mbowe yuko Arusha😂Hii ndio taarifa iliyokoko Global Tv kwamba Mwenyekiti wa Chadema yuko nyumbani kwake na nje kuna Walinzi wa Amani
Ahsanteni sana
🤣