Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Ni weupe kama karatasiIntelijensia yao ina utapiamlo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni weupe kama karatasiIntelijensia yao ina utapiamlo
Hawaitwi polisi wanajina lao lingine la fedheha kuna siku nilikuwa natembea na mtu akaanza kuniambia umemuona mbwa yule nikamuuliza mboni sioni mbwa tulikua kituo cha mwendo kasi akaniambia angalia vizuri hauoni mbwa, huyo mwenyewe ananiambia unaona mbwa yule yeye ni askari, ndio akanionyesha yule aliepanda pikipiki kuna askari alikua anapita kapanda pikipiki akasema yule ndio mbwa wala sikohoji kwanini alimuita yule askari mbwa nikapiga kimyaMambo wanayoyafanya Polisi leo wangekuwa wanayafanya hata kwa wiki mara moja Tanzania hii watu wasingekuwa wanapotezwa na kuuwawa kikatili
Kumbe ukiandamana unatakiwa uwe na silaha!Waandamane kwani wana silaha?
Haki huinua taifaShetani ataiachia tu hii nchi.
They are bitchesHawaitwi polisi wanajina lao lingine la fedheha kuna siku nilikuwa natembea na mtu akaanza kuniambia umemuona mbwa yule nikamuuliza mboni sioni mbwa tulikua kituo cha mwendo kasi akaniambia angalia vizuri hauoni mbwa, huyo mwenyewe ananiambia unaona mbwa yule yeye ni askari, ndio akanionyesha yule aliepanda pikipiki kuna askari alikua anapita kapanda pikipiki akasema yule ndio mbwa wala sikohoji kwanini alimuita yule askari mbwa nikapiga kimya
Mavi matupuLabda wamekwisha kumuua na kwenda kumtupa porini kufuta ushahidi
“Wallahi, lau Fatma binti Muhammad angeiba, hakika ningemkata mkono.”Chadema kupitia ukurasa wake X yasema Polisi hawamshikilii Nicole Mbowe
Clip iliyopo ukurasani inamwonyesha Kamanda Muliro akisema Jeshi linawashukilia Watu 14 aliowataja sasa kama Jina la Nicole Mbowe halipo maana yake hashikiliwi
Kamanda Muliro alikuwa akijibu maswali ya Waandishi wa Habari
Ahsanteni sana
Vipi mavi yanakububujika ?Mavi matupu
Leo polisi wameaibishwa sana.Chadema kupitia ukurasa wake X yasema Polisi hawamshikilii Nicole Mbowe
Clip iliyopo ukurasani inamwonyesha Kamanda Muliro akisema Jeshi linawashukilia Watu 14 aliowataja sasa kama Jina la Nicole Mbowe halipo maana yake hashikiliwi
Kamanda Muliro alikuwa akijibu maswali ya Waandishi wa Habari
Ahsanteni sana
Swali fikirishi, je watekaji huwa wanaacha usiwaone?Waandishi wa habari si walichukua video,Nicole akikamatwa,kamanda anakanaje tena?
Au hajaambiwa na watu wake kua Nicole alikamatwa sehemu ya wazi,watu wakiwa wanaona?
Msaliti naona umetoa pua yako baada ya kuwa muda wote umejificha uvunguni.Shetani hajawahi kumshinda Mungu
Maana wanaokuzuia wamesheni silaha nzito.Kumbe ukiandamana unatakiwa uwe na silaha!