Pre GE2025 Yaliyojiri kwenye Maandamano ya CHADEMA 23/9/2024
Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mambo wanayoyafanya Polisi leo wangekuwa wanayafanya hata kwa wiki mara moja Tanzania hii watu wasingekuwa wanapotezwa na kuuwawa kikatili
Hawaitwi polisi wanajina lao lingine la fedheha kuna siku nilikuwa natembea na mtu akaanza kuniambia umemuona mbwa yule nikamuuliza mboni sioni mbwa tulikua kituo cha mwendo kasi akaniambia angalia vizuri hauoni mbwa, huyo mwenyewe ananiambia unaona mbwa yule yeye ni askari, ndio akanionyesha yule aliepanda pikipiki kuna askari alikua anapita kapanda pikipiki akasema yule ndio mbwa wala sikohoji kwanini alimuita yule askari mbwa nikapiga kimya
 
They are bitches
 
Mimi haya mambo siyaelewi kabisa. Wanayofanya Polisi ni kama wanatudhihirishia wananchi kuwa wao ndio wanaohusika ktk utekaji na uuaji. Maana hiyo operesheni ya kuzuia maandamano ingekuwa inalenga kutafuta wasiojulijana mbona kila mwananchi angewapongeza? Lakini sasa watu wanapotea hawatoi majibu na wanaotaka kuandamana kudai haki ndio wanakutana na nguvu ya polisi. Kwanini hiyo nguvu isitumike kuwatafuta wahalifu?
 
Chadema kupitia ukurasa wake X yasema Polisi hawamshikilii Nicole Mbowe

Clip iliyopo ukurasani inamwonyesha Kamanda Muliro akisema Jeshi linawashukilia Watu 14 aliowataja sasa kama Jina la Nicole Mbowe halipo maana yake hashikiliwi

Kamanda Muliro alikuwa akijibu maswali ya Waandishi wa Habari

Ahsanteni sana
“Wallahi, lau Fatma binti Muhammad angeiba, hakika ningemkata mkono.”
(Hadithi hii imepokewa katika Sahih al-Bukhari na Sahih Muslim).Kauli hii inasisitiza umuhimu wa kutekeleza haki kwa usawa bila upendeleo au huruma kwa misingi ya undugu, urafiki, au hali ya mtu katika jamii. Mtume Muhammad (SAW) alikuwa mfano wa uadilifu na alitaka kuondoa dhana ya kwamba watu wenye vyeo au familia fulani wanastahili kutendewa tofauti. Haki inapaswa kutekelezwa kwa kila mtu sawa, bila kujali nafasi yake au uhusiano wake na mtoa hukumu.
 
Ila kukwama kwa maandamano sio failure ya chadema,mbowe wala lissu peke yake. Ni failure ya wote kama nchi. Matatizo kila kona,lkn watu kupaza sauti nibkipengele. Polisi mnaokamata wala sio wenye vyeo vikubwa, maisha yenu tunajua. Mnaona Raha kupromote interest za CCM ikiwa ni pamoja na viongozi wenu ambao ninmakada. Hatufiki
 
Chadema kupitia ukurasa wake X yasema Polisi hawamshikilii Nicole Mbowe

Clip iliyopo ukurasani inamwonyesha Kamanda Muliro akisema Jeshi linawashukilia Watu 14 aliowataja sasa kama Jina la Nicole Mbowe halipo maana yake hashikiliwi

Kamanda Muliro alikuwa akijibu maswali ya Waandishi wa Habari

Ahsanteni sana
Leo polisi wameaibishwa sana.
 
Back
Top Bottom