kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
Sasa si ukae pembeni!Maana wanaokuzuia wamesheni silaha nzito.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa si ukae pembeni!Maana wanaokuzuia wamesheni silaha nzito.
Kwa hamasa mlokuwa nayo, ni great Failure! Lakini kujiliwaza ni muhimu ili moyo nao usiendelee kusononeka kwa uchungu. Hongera sana kwa Jeshi letu la Polisi.Ila kukwama kwa maandamano sio failure ya chadema,mbowe wala lissu peke yake. Ni failure ya wote kama nchi. Matatizo kila kona,lkn watu kupaza sauti nibkipengele. Polisi mnaokamata wala sio wenye vyeo vikubwa, maisha yenu tunajua. Mnaona Raha kupromote interest za CCM ikiwa ni pamoja na viongozi wenu ambao ninmakada. Hatufiki
Ila kukwama kwa maandamano sio failure ya chadema,mbowe wala lissu peke yake. Ni failure ya wote kama nchi. Matatizo kila kona,lkn watu kupaza sauti nibkipengele. Polisi mnaokamata wala sio wenye vyeo vikubwa, maisha yenu tunajua. Mnaona Raha kupromote interest za CCM ikiwa ni pamoja na viongozi wenu ambao ninmakada. Hatufiki
Si utuwekee hako ka clip ka kukamatwa kwake nasi tukaone Sasa?Waandishi wa habari si walichukua video,Nicole akikamatwa,kamanda anakanaje tena?
Au hajaambiwa na watu wake kua Nicole alikamatwa sehemu ya wazi,watu wakiwa wanaona?
Kwa hiyo nyie misukele ya mzee mbowe mnayo maisha bora sioIla kukwama kwa maandamano sio failure ya chadema,mbowe wala lissu peke yake. Ni failure ya wote kama nchi. Matatizo kila kona,lkn watu kupaza sauti nibkipengele. Polisi mnaokamata wala sio wenye vyeo vikubwa, maisha yenu tunajua. Mnaona Raha kupromote interest za CCM ikiwa ni pamoja na viongozi wenu ambao ninmakada. Hatufiki
Ahadi nyingine ngumu kutekelezeka😂😂😂Bado sana.
Usikute yule mnywa damu za mabinti anaye tayari! Hata yule askari wa kike aliyesuka minywele aliyeingia naye kwenye STM tunamjua! wachezee moto!Waandishi wa habari si walichukua video,Nicole akikamatwa,kamanda anakanaje tena?
Au hajaambiwa na watu wake kua Nicole alikamatwa sehemu ya wazi,watu wakiwa wanaona?
Tumeona wamemuongiza kwenye Land Cruiser nyeupe.. na video zipo vizuri sana.. na alikuwa kashikwa mkono na muma wa kiaskari kavaa muwaaaniChadema kupitia ukurasa wake X yasema Polisi hawamshikilii Nicole Mbowe
Clip iliyopo ukurasani inamwonyesha Kamanda Muliro akisema Jeshi linawashukilia Watu 14 aliowataja sasa kama Jina la Nicole Mbowe halipo maana yake hashikiliwi
Kamanda Muliro alikuwa akijibu maswali ya Waandishi wa Habari
Ahsanteni sana
Taarifa sahihi ni muhimu sana katika utekelezaji wa masuala mbalimbali, ni dhahiri kuwa viongozi wetu wanapewa taarifa nyingi sana za kubumbabumba.Hata Polisi wamejifunza kitu kwamba watakuwa makini na taarifa watakazopata kuhakikisha ni za ukweli.
Inawezekana kwenye kuandikisha majina ajaandikisha ilo jina la nicole mboweWaandishi wa habari si walichukua video,Nicole akikamatwa,kamanda anakanaje tena?
Au hajaambiwa na watu wake kua Nicole alikamatwa sehemu ya wazi,watu wakiwa wanaona?
Na mimi pia ni muoga Sana, siwezi kuandamana sehemu zinakuwa na vurugu au vitaWatu wanatoa visingizio tu
Tuseme ukweli tu 🤣
Sisi watanzania ni waoga mno, hata mimi ni muoga.
Mimi ni Muoga, wewe je?
Lissu ndo kalala kwake ndo maan hajaonekana eti 🤣Kumbe mwenyekiti Jana hajalala kwake naambiwa.