Pre GE2025 Yaliyojiri kwenye Maandamano ya CHADEMA 23/9/2024
Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ila kukwama kwa maandamano sio failure ya chadema,mbowe wala lissu peke yake. Ni failure ya wote kama nchi. Matatizo kila kona,lkn watu kupaza sauti nibkipengele. Polisi mnaokamata wala sio wenye vyeo vikubwa, maisha yenu tunajua. Mnaona Raha kupromote interest za CCM ikiwa ni pamoja na viongozi wenu ambao ninmakada. Hatufiki
Kwa hamasa mlokuwa nayo, ni great Failure! Lakini kujiliwaza ni muhimu ili moyo nao usiendelee kusononeka kwa uchungu. Hongera sana kwa Jeshi letu la Polisi.
 
Ila kukwama kwa maandamano sio failure ya chadema,mbowe wala lissu peke yake. Ni failure ya wote kama nchi. Matatizo kila kona,lkn watu kupaza sauti nibkipengele. Polisi mnaokamata wala sio wenye vyeo vikubwa, maisha yenu tunajua. Mnaona Raha kupromote interest za CCM ikiwa ni pamoja na viongozi wenu ambao ninmakada. Hatufiki

View: https://www.facebook.com/100064852174593/videos/chadema-wanatekana-wenyeweeasema-dr-slaaza-chini-zinasema-dr-slaa-anapanga-kurej/471191618399307/
View: https://www.facebook.com/watch/?v=471191618399307&vanity=100064852174593
 
Ila kukwama kwa maandamano sio failure ya chadema,mbowe wala lissu peke yake. Ni failure ya wote kama nchi. Matatizo kila kona,lkn watu kupaza sauti nibkipengele. Polisi mnaokamata wala sio wenye vyeo vikubwa, maisha yenu tunajua. Mnaona Raha kupromote interest za CCM ikiwa ni pamoja na viongozi wenu ambao ninmakada. Hatufiki
Kwa hiyo nyie misukele ya mzee mbowe mnayo maisha bora sio
 
Waandishi wa habari si walichukua video,Nicole akikamatwa,kamanda anakanaje tena?
Au hajaambiwa na watu wake kua Nicole alikamatwa sehemu ya wazi,watu wakiwa wanaona?
Usikute yule mnywa damu za mabinti anaye tayari! Hata yule askari wa kike aliyesuka minywele aliyeingia naye kwenye STM tunamjua! wachezee moto!
 
Hata Polisi wamejifunza kitu kwamba watakuwa makini na taarifa watakazopata kuhakikisha ni za ukweli.
 
Chadema kupitia ukurasa wake X yasema Polisi hawamshikilii Nicole Mbowe

Clip iliyopo ukurasani inamwonyesha Kamanda Muliro akisema Jeshi linawashukilia Watu 14 aliowataja sasa kama Jina la Nicole Mbowe halipo maana yake hashikiliwi

Kamanda Muliro alikuwa akijibu maswali ya Waandishi wa Habari

Ahsanteni sana
Tumeona wamemuongiza kwenye Land Cruiser nyeupe.. na video zipo vizuri sana.. na alikuwa kashikwa mkono na muma wa kiaskari kavaa muwaaani
 
Hata Polisi wamejifunza kitu kwamba watakuwa makini na taarifa watakazopata kuhakikisha ni za ukweli.
Taarifa sahihi ni muhimu sana katika utekelezaji wa masuala mbalimbali, ni dhahiri kuwa viongozi wetu wanapewa taarifa nyingi sana za kubumbabumba.
 
Bongo watu wakiamua watuvamie tu, tuna hali Mbaya ya intelijensia. Kiufupi hatuna intelijisia yoyote. Just imagine Polisi wamezunguka nyumba ya mbowe toka Jana usiku na bado Mwamba kaibukia magomeni😂😂

Intelijensia ya kina Bashite
 
Waandishi wa habari si walichukua video,Nicole akikamatwa,kamanda anakanaje tena?
Au hajaambiwa na watu wake kua Nicole alikamatwa sehemu ya wazi,watu wakiwa wanaona?
Inawezekana kwenye kuandikisha majina ajaandikisha ilo jina la nicole mbowe
 
Watu wanatoa visingizio tu
Tuseme ukweli tu 🤣

Sisi watanzania ni waoga mno, hata mimi ni muoga.

Mimi ni Muoga, wewe je?
Na mimi pia ni muoga Sana, siwezi kuandamana sehemu zinakuwa na vurugu au vita

Na umri huu Sina hata mtoto wala nyumba nikifaje?😂😂😂
 
Back
Top Bottom