Pre GE2025 Yaliyojiri kwenye Maandamano ya CHADEMA 23/9/2024
Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
chadema.png
 
Taarifa ya kikao cha Chama kikuu cha upinzani huko Mkoa wa Kaskazini zilipekwa kwa Mama na Mtoto pendwa hazikuwa za kweli hata kidogo.

Bahati mbaya Kiongozi wa taifa la Pueto Rica kaziamini na kuzifanyia kazi.

Ngongo kwa sasa Mlandizi.
 
Chadema kupitia ukurasa wake X yasema Polisi hawamshikilii Nicole Mbowe

Clip iliyopo ukurasani inamwonyesha Kamanda Muliro akisema Jeshi linawashukilia Watu 14 aliowataja sasa kama Jina la Nicole Mbowe halipo maana yake hashikiliwi

Kamanda Muliro alikuwa akijibu maswali ya Waandishi wa Habari

Ahsanteni sana
Wanakana tena amekatwa mbele ya camera mchana ingekuwa gizani usiku? huyu mzee anaogoza genge la watekaji
 
Kwenye suala la kutafuta haki kuna njia nyingine nyingi tu mana kuna majukwaa mengi ya UN yanayosikiliza na kusimamia haki za binadamu wote kwa kwa ujumla.

Kwanini watu wasitumie njia ya kuandaa midahalo ya kujadili changamoto za nchi zao na kuzifikisha katika manukwaa ya kimataifa pale inapobidi?

Bora kutumia njia ya migomo katika utendaji ili kupata suluhu ya matatizo katika nchi kuliko kuandamana kitu ambacho mwisho wake tunajiandalia njia za machafuko wenyewe.
Kwanini kama ni kupata haki ya kubadili katiba wananchi wenyewe wasiwe katika mstari wa mbele kwenye kuidai na isipopatikana basi ifuatiwe na migomo katika utendaji wa shughuli za uzalishaji kitu ambacho ni lazma Serikali iguswe moja kwa moja mana haiwezi kujiendesha bila ya fedha zinazotokana na uzalishaji?

Kama ni suala la kupanda kwa gharama za maisha kutokana na kodi na ushuru kwanini wafanyabiashara wasifanye migomo mana kwenye democracy kuna haki ya kugoma ikiwa kuna ukandamizaji unaendelea.

Suala la maandamano si swala la kulisifia na kulipokea kwa sherehe hivyo tizameni outcomes zake kuna Vifo vya raia wasio na hatia, wamama wazee na watoto wanaweza kuwa waathirika wakubwa.

Be rational, tumia njia yenye maumivu kwa pande zote ikiwa ni lazima Serikali itaumia na wananchi wataumia kwa muda mfupi ila haki lazma ipatikane mana ndiyo inaweza kuwa suluhisho la pekee kwa migomo hiyo hapa suala usalama ni muhimu.
 
Sehemu pekee ambako chadema na wanaharakati wanaweza kuandamana ni kwenye mitandao tu. Watanganyika ni waoga sana yaani
 
Chadema mmeshindwa tena kudhihirisha kuwa nyie ni chama kikuu cha upinzani.

Kila mtu anaendelea na mambo yake.
 
Wengi wanaosemekana wamrpotea ni wachagga ambao wanaponzwa na mzee mbowe .Ni vyema akulizwa huwa anawapeleka wapi ndugu zake hawa
Hata Mzee Ally Kibao alikuwa mchaga wa machame

Ni upambavu kushabikia ukabila kwenye Karne ya 21
 
Hakuna madhara yoyote kwa nchi na raia huyo mchaga kulazwa kwenye difenda. Polisi wamekosea sana. Ila iwe fundisho kwa wajinga wote waliomkabidhi Mbowe akili.
Usitumie Jina la Rais ,
Kama huna akili ya kujenga hoja

Ni upambavu kushabikia ukabila Karne ya 21
 
Back
Top Bottom