iamwangdamin
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 864
- 1,798
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa genius em nikuone ukiwa na bango basi niamini Uko smart kichwani 😂Akili yako mbovu sana!
Wanakana tena amekatwa mbele ya camera mchana ingekuwa gizani usiku? huyu mzee anaogoza genge la watekajiChadema kupitia ukurasa wake X yasema Polisi hawamshikilii Nicole Mbowe
Clip iliyopo ukurasani inamwonyesha Kamanda Muliro akisema Jeshi linawashukilia Watu 14 aliowataja sasa kama Jina la Nicole Mbowe halipo maana yake hashikiliwi
Kamanda Muliro alikuwa akijibu maswali ya Waandishi wa Habari
Ahsanteni sana
Hao jamaa walio mpandisha bodaboda ni bodyguards wake au wahuni wa kitaa maana naona wanashika shika kiuno tuu
Shetan ni chagademaShetani ataiachia tu hii nchi.
Shetani anataka kuharibu amani ya nchi yetu MUNGU atuepeshe nae,na wewe shetani mdogo uliejifungia chumbani endelea kubwekaShetani hajawahi kumshinda Mungu
Uwezo wako ni mdogo sanaShetani anataka kuharibu amani ya nchi yetu MUNGU atuepeshe nae,na wewe shetani mdogo uliejifungia chumbani endelea kubweka
Hahah hata sijaelewa mkuu , nahisi ni waangalizi wakeHao jamaa walio mpandisha bodaboda ni bodyguards wake au wahuni wa kitaa maana naona wanashika shika kiuno tuu
Si umeona Polisi kutoka mikoa 10 wanaandamana wiki nzima kukamata mtu mmoja. Akili yako ni kama yao.Sawa genius em nikuone ukiwa na bango basi niamini Uko smart kichwani 😂
Sauwa Tanzania One ☝️Si umeona Polisi kutoka mikoa 10 wanaandamana wiki nzima kukamata mtu mmoja. Akili yako ni kama yao.
Joke wapi.. ?! I was seriousNa ww jaman unafanya joke kwelii😂
Hata Mzee Ally Kibao alikuwa mchaga wa machameWengi wanaosemekana wamrpotea ni wachagga ambao wanaponzwa na mzee mbowe .Ni vyema akulizwa huwa anawapeleka wapi ndugu zake hawa
Usitumie Jina la Rais ,Hakuna madhara yoyote kwa nchi na raia huyo mchaga kulazwa kwenye difenda. Polisi wamekosea sana. Ila iwe fundisho kwa wajinga wote waliomkabidhi Mbowe akili.