Ngwanashigi Gagaga
JF-Expert Member
- Mar 10, 2017
- 434
- 302
Fumbo mfumbie mjinga mwelevu ataling'amua, Watanzania wanajua ndiyo maana watatoa mitano tena kwa JPM!Ana tiket ya ubeligiji siku tano baada ya Uchaguzi
Anakimbia Nchi anajua ana makosa mengi
Pole kaka usiwe unakaa karibu na Chadema ni wapotoshaji
Hahahaha ahsante mkuu.. Ila mimi siyo kaka
Kwa hiyo ikibidi nguvu ya uma kutumika tuvae vinyago usoni?Erythrocyte - Never expose your identity. Kesho tutasikia umetekwa na watu wasiojulikana.
Udanganyifu sii sawa ,alishalitolea ufafanuzi na wote hats kabla ya uongo huu,tunafahamu kwanini alienda nje na kwanini bado ataenda,mje na uongo mwingine.Unashangaa Lisu kuwa na tiketi? awamu hii kweli CCM imejaa wajinga!
Kwa hiyo ikibidi nguvu ya uma kutumika tuvae vinyago usoni?
CCM hawatohitimisha kampeni pale Dodoma kama ilivyopangwa kwenye ratiba.Kwani kuna wilaya hajaenda Tanzania hii?
Tahadhari
Kuna mtu moyo unakaribia kukata moto huko manyara hivyo hospital za celian ,KCMC na BMkapa ziwe stand by
shaongea na wazee wangu kijijini miaka 50+ ya umaskini ulioletwa na sera laghai za ccm mwisho tarehe 28.
kwa mara ya kwanza wazee wamesema KURA KWA LISSU.
Aiseeee !CCM hawatohitimisha kampeni pale Dodoma kama ilivyopangwa kwenye ratiba.
Sababu;-
Wameishiwa fedha ya kukodi malori.
Mgombea wao moyo umestuka
Leo aende akamnadi Nyalandu, sijaona akimnadi....
Kwanini kila siku anarudi singida ? Hawaamini ndugu zake?
Two brothers from the same mother but different wombs
Acha kujiaibisha Mkuu, tarehe 18 Disemba 2020 ndio siku tano baada ya uchaguzi? Naona sasahivi mnapiga propaganda tu baada ya udhibiti wa vituo hewa lukuki nchini.Ana tiket ya ubeligiji siku tano baada ya Uchaguzi
Anakimbia Nchi anajua ana makosa mengi
Binafsi naweza pata ujasiri iwapo tu, watakaotuambia tuingie barabarani waje wao, wake zao na watoto wao tuungane pamoja kudai haki ya kuibiwa kura.Tuombe wawe/tuwe na courage ya kupigwa risasi na kusonga mbele, wasiwasi wangu uko hapo? Tuna ujasiri huo?
Bro kumbe wamedhibitiwa ee? Zile taarifa tulizokuwa tunazisikiaAcha kujiaibisha Mkuu, tarehe 18 Disemba 2020 ndio siku tano baada ya uchaguzi? Naona sasahivi mnapiga propaganda tu baada ya udhibiti wa vituo hewa lukuki nchini.
Kwingine alikuwa anaenda kufanya utalii wa ndani. Singida anaenda kusalimia nyumbani. Tar 18 Dec anapanda ndege kwenda Ubelgiji.Kwanini kila siku anarudi singida ? Hawaamini ndugu zake?