Uchaguzi 2020 Yaliyojiri kwenye Mikutano ya Kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu kwenye Mikoa ya Dodoma na Singida

Uchaguzi 2020 Yaliyojiri kwenye Mikutano ya Kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu kwenye Mikoa ya Dodoma na Singida

Viva Lissu! Viva wana kanda ya kati Mungu awabariki sana! Tunedelee kuhamasisha watu na makundi ya watu kujitokeza tar 28, tukampeleke Lissu ikulu kwa kura nyingi! Mungu akazuie hila zote za wasiopenda haki!
 
Kwani kuna wilaya hajaenda Tanzania hii?

Tahadhari
Kuna mtu moyo unakaribia kukata moto huko manyara hivyo hospital za celian ,KCMC na BMkapa ziwe stand by
aisee huko babati mzee meko kachanganyikwa yaani anaongea mdomo haunaushirikiano na ubungo ni shida,kuna saa nasika mungu hoyyyyyyyyeeeeeeee,
 
Propaganda hazitawasaidia. Lissu amesema atatupa uhuru, haki na maendeleo. Semeni mtakachotupa ili tuwalinganishe. Haya ya mabeberu, kukimbia nchi wakati nyie ndio mliompa ulemavu, ushoga ni soga tu hizo. Watanzania wana akili.
Tena Wana akili nzuri,zaidi ya wanavyodhani hawa wanaoleta propaganda uchwara.
 
Viva Lissu! Viva wana kanda ya kati Mungu awabariki sana! Tunedelee kuhamasisha watu na makundi ya watu kujitokeza tar 28, tukampeleke Lissu ikulu kwa kura nyingi! Mungu akazuie hila zote za wasiopenda haki!
Ameen.
 
Wakuu kwa sasa ni suala la muda tu kwa Nchi yetu kupata Rais Mpya kutoka kwenye chama kipya , naandika haya kwa kujiamini kabisa baada ya Tathmini ya uhakika , njia pekee ya kumshinda Lissu kwenye uchaguzi huu ni kuiba kura tu .

Nirudi kwenye mada , Leo Tundu Lissu ataendelea na mikutano kadhaa na hasa kwenye maeneo ambayo hakufanikiwa kuyapitia ya Dodoma na Singida ( anafukia mashimo ) , kama kawaida yetu tutawaletea kila kinachojiri pote atakapopita .

Endelea kubaki hapa hapa JF kwa taarifa za Uhakika .

" TANZANIA MPYA OYEE , RAIS MPYA OYEEEE "

View attachment 1611262

========
Mkuu Erythrocyte may i have your contants?

Kama hutojali nimekuwa nikivutiwa sana na maandiko yako
 
Lisu ni mzalendo halisi toka moyoni na sio wa majukwaani, hana kashfa yeyeto, ni civilized na matured,ana global vision ni mtanzania halisi uraia wake hauna shaka kabisa,
Ni mtetezi wa haki tumpe kura zote

Umenena vyema kumpigia Kura raia mwenye mashaka na uraia wake Haina tofauti na kuuza inchi asili Ni asili tuu
 
exctly, bila hivyo dictators hawaondoki madarakani
Dictator awatoki madarakani bali kwa
. kuuwawa
.kupinduliwa
.kufurushwa na nguvu ya umma
Si kwamba madikteta upenda Sana kuongoza jibu ni kwamba wataishije na Jamii waliyoiumiza.
Salama yao ni kung'ang'ania madarakani japo Mara nyingi wakati si ukuta
 
Watz ni waoga sana, itatakiwa kuhamsisshwa sana ili waweze kuipigania haki yao.
Bahati nzuri uchaguzi huu LISU atakuwa front akihamasisha wazalendo wa kweli
kupigania nchi yao toka kwenye makucha ya wachumia tumbo
 
Haki inapotendeka,hata yote hayo hayana,sababu ila kwa kuwa wapo baadhi hawataki kutenda haki ndio watakao sababisha yote hayo.
 
Je wananchi watakubaliana na ujinga wa kutomtangaza Lissu ?
Wananchi ni waoga sana, labda wahamasishwe na ushujaa wa mgombea (Lisu) kwamba
atakuwa mbele akipigania haki ya wananchi wote wenye mapenzi mema na nchi yao
 
Back
Top Bottom