Uchaguzi 2020 Yaliyojiri kwenye Mikutano ya Kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu kwenye Mikoa ya Dodoma na Singida

Hatakiwi kufanya hivyo...!! Anaweza kusema kwamba lipo chini halafu likabadilishwa, ndio maana amekaa kimya. Ile ya Magu haitabadilika ndo vilevile ndio maana anafundishia maana ni uhakika haitabadilika.
kumpigia kura 28 Okt 2020. Hajaeleza wapi picha na jina lake vimewekwa kwenye karatasi ya kupiga kura.
 
Nimekupata. Kwa kweli huu siyo uchaguzi ila ni uhuni tu. Watanzania tutavumilia hali hii mpaka lini?
Hatakiwi kufanya hivyo...!! Anaweza kusema kwamba lipo chini halafu likabadilishwa, ndio maana amekaa kimya. Ile ya Magu haitabadilika ndo vilevile ndio maana anafundishia maana ni uhakika haitabadilika.
 
NEC hamna namna bali ni kumtangaza Lissu kuwa Rais wetu...maana ndiye chaguo la watanzania... mbali na hapo mtaliingiza taifa kwenye machafuko makubwa...

Rais tuliyepewa na Mungu ni Tundu Antipas Lissu.
 
Abarikiwe TL. Tujitokeze kwa wingi Jumatano 28 Okt 2020 tumpigie TL kura zetu.

Sijasikia TL akieleza watu jinsi ya watu kumpigia kura 28 Okt 2020. Hajaeleza wapi picha na jina lake vimewekwa kwenye karatasi ya kupiga kura.
Asifanye hivyo, ile karataso ni ya mfano. Inaweza kuchange any time. Ile namba moja ikabakizwa vivyo hivyo.
 
Kama kweli tumefika hapo, basi haina haja ya uchaguzi. Mabadiliko yatakuja kwa njia zisizo za kidemokrasia.
Asifanye hivyo, ile karataso ni ya mfano. Inaweza kuchange any time. Ile namba moja ikabakizwa vivyo hivyo.
 
Wakuu kwa sasa ni suala la muda tu kwa Nchi yetu kupata Rais Mpya kutoka kwenye chama kipya , naandika haya kwa kujiamini kabisa baada ya Tathmini ya uhakika , njia pekee ya kumshinda Lissu kwenye uchaguzi huu ni kuiba kura tu .

Nirudi kwenye mada , Leo Tundu Lissu ataendelea na mikutano kadhaa na hasa kwenye maeneo ambayo hakufanikiwa kuyapitia ya Dodoma na Singida ( anafukia mashimo ) , kama kawaida yetu tutawaletea kila kinachojiri pote atakapopita .

Endelea kubaki hapa hapa JF kwa taarifa za Uhakika .

" TANZANIA MPYA OYEE , RAIS MPYA OYEEEE "

View attachment 1611262

========
Mkuu erythrocyte aka powerceff heshima kwako mkuu
 
mkuu huyo mgombea wako anapita hapo dodoma na singida Mara ngapi??

Inamaana hakuna sehem zingine za kupiga kampein

??🤔
 
A stratergist will always go forwad and backward to harmonize issues.
 
Sheikh Ponda Issa Ponda asisitiza msimamo wa Waisilamu wa Tanzania kuipigia CHADEMA na ACTwazalendo ni Huu hapa
 
Yeyote mwenye akli concern yake ni hiyo. Lisu ameshashinda, tatizo hawatamtangaza! What next? Kaijage hatamtangaza, CDM na watanzania wana option gani kupata haki?
Je wananchi watakubaliana na ujinga wa kutomtangaza Lissu ?
 
Yeyote mwenye akli concern yake ni hiyo. Lisu ameshashinda, tatizo hawatamtangaza! What next? Kaijage hatamtangaza, CDM na watanzania wana option gani kupata haki?
Kwa nilicho kishuhudia leo kwenye seminar ya wasimamizi wa vituo vya uchaguzi ni dhahiri CCM wanashirikiana na TISS kuiba kura
DSO/RSO wanasema
1.Marufuku mawakala kuingia na simu
2.Marufuku wasimamizi wasaidizi kuingia na simu
3.Marufuku kalani mwongozaji kuingia na simu
4.Marufuku wakala kuingia na kalam yake
5.Marufuku wakala kuondoka na karatasi ya matokeo

Wapinzani tumeshapigwa tayari!Yaani nimekuta kwanini niliumia kwenye hiyo seminar Ilikuwa kidogo tu nirushe ngumi
 
Marufuku ya kishetani haitakubaliwa , kuna dalili uchaguzi usifanyike
 
Back
Top Bottom