Uchaguzi 2020 Yaliyojiri kwenye Mikutano ya Kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu kwenye Mikoa ya Dodoma na Singida

Uchaguzi 2020 Yaliyojiri kwenye Mikutano ya Kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu kwenye Mikoa ya Dodoma na Singida

Kwanini kila siku anarudi singida ? Hawaamini ndugu zake?
Kwani kuna wilaya hajaenda Tanzania hii?

Tahadhari
Kuna mtu moyo unakaribia kukata moto huko manyara hivyo hospital za celian ,KCMC na BMkapa ziwe stand by
 
Unaruhusiwa kijifariji ?

All in all mr lissu tayari ana tiket ya kurudi ubeligiji, anajua field kukoje
hakikisha sana ukampigie kura Mheshimiwa Rais Lissu siku ya Jumatano oktoba 28, hakikisha hilo, wewe, mkeo, na nduguzo wote waambie kura zote kwa Lissu
 
Nimeona mahali kuwa mawakala wa CHADEMA bado hawakuapishwa licha ya kuongezwa kwa muda. Lakini sijasikia chama kikisema lolote. Mmekubalina na hali
Hata mimi nimeshangazwa au kuna hujuma Chadema?
 
Kupigia kura msaliti wa Nchi Lissu ni laana

Sitaki kuleta mikosi kwa familia yangu

Pia Tanzania hatutaki ushoga,
we mlevi hakikisha jumatano unampigia kura Mheshimiwa Rais Tundu A. Lissu
 
Wakuu kwa sasa ni suala la muda tu kwa Nchi yetu kupata Rais Mpya kutoka kwenye chama kipya , naandika haya kwa kujiamini kabisa baada ya Tathmini ya uhakika , njia pekee ya kumshinda Lissu kwenye uchaguzi huu ni kuiba kura tu .

Nirudi kwenye mada , Leo Tundu Lissu ataendelea na mikutano kadhaa na hasa kwenye maeneo ambayo hakufanikiwa kuyapitia ya Dodoma na Singida ( anafukia mashimo ) , kama kawaida yetu tutawaletea kila kinachojiri pote atakapopita .

Endelea kubaki hapa hapa JF kwa taarifa za Uhakika .

" TANZANIA MPYA OYEE , RAIS MPYA OYEEEE "

View attachment 1611262
nyumbu.jpg


========
 
My family, friends and the rest Will vote for our beloved President Magufuli

Hope so he Will win over 98%
hakikisha sana ukampigie kura Mheshimiwa Rais Lissu siku ya Jumatano oktoba 28, hakikisha hilo, wewe, mkeo, na nduguzo wote waambie kura zote kwa Lissu
 
Back
Top Bottom