Uchaguzi 2020 Yaliyojiri kwenye Mikutano ya kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu kwenye Mikoa ya Kilimanjaro na Tanga

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Ikiwa leo ni siku ya Maombi, Sala na Shukrani nchi nzima, Mgombea Urais anayesubiriwa kwa hamu kupigiwa kura na wananchi walio wengi ambapo anatarajiwa kushinda kwa zaidi ya 75%, anaendelea na kampeni ya kuomba kura za kishindo kwenye baadhi ya maeneo ya Kilimanjaro na Tanga.

Kama kawaida yetu tutaendelea kuwahabarisha kila kinachojiri mahali pote anapopita.

Endelea kubaki hapa hapa JF kwa taarifa za uhakika

" RAIS MPYA OYEE , TANZANIA MPYA OYEEE "



=========

Hedaru




Handeni :



SAME :

 
Mungu mbariki Lissu. Mungu ibariki CHADEMA hatimaye tabasamu lionekane machoni mwa wapenda HAKI
Naamini siyo kwa bahati mbaya hukumalizia kwa kusema au kuandika Mungu ibariki Tanzania ulipenda Bila Shaka kuandika mungu wabariki mabeberu, mungu mbariki Amsterdam
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…