Uchaguzi 2020 Yaliyojiri kwenye Mikutano ya kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu kwenye Mikoa ya Kilimanjaro na Tanga

Ila mkuu unaniangusha mnoo!! kweli unashabikia huo mzigo wa miba!!

Hii miiba tuliipanda wenyewe wacha tupambane kuiondoa wote kwa kutofata sheria
Sio wewe mwenyewe unateseka na haya mabadiliko. Ni watanzania wote
 
Kilicho muangusha Lisu ni utetezi wake wa mapenzi ya jinsia mmoja na kutoamini kwamba Mungu ameiepusha Tanzania na janga la virusi vya Corona.
Kwani mmeshahesabu kura mpaka useme kilichomuangusha...subirini watu wapige kura
 
Naamini siyo kwa bahati mbaya hukumalizia kwa kusema au kuandika Mungu ibariki Tanzania ulipenda Bila Shaka kuandika mungu wabariki mabeberu, mungu mbariki Amsterdam
Naamini siyo kwa bahati mbaya hukumalizia kwa kusema au kuandika Mungu ibariki Tanzania ulipenda Bila Shaka kuandika mungu wabariki mabeberu, mungu mbariki Amsterdam
Wewe kibabu kalee wajukuu
 
Hawana hoja na vichwa vyao ni vigumu kuelewa hoja za Lissu wamebaki na ajenda ya Ushoga
 
Ndio hapo watakapokw3nda JPM sijui mtazimia
Uchaguzi ukiwa Huru na wa HAKI Lissu mwenyewe alisema atakuwa wa Kwanza kumpongeza atakayekuwa ameshinda......ikitokea vinginevyo........
 

Hahahaha
Mkuu hawa jamaa kazi yao ni kujaza watu hasira, usijibizane nao.
Wao wapo kazini na wanalipwa kwa kazi hii
 
Lala salama iko njema sana
 
Kanyaga twende baba. Mungu akutangulie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…