Uchaguzi 2020 Yaliyojiri kwenye Mikutano ya kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu kwenye Mikoa ya Kilimanjaro na Tanga

Poleni sana. Huyo haingii Ikulu
 
Huu ni mpango wa Mwenyezi Mungu, watamtangaza tu. Niswala la muda tu.

Maana hawataweza kuiba kura.
Tatizo ni masharti magumu sana waliowekewa mawakala. Masharti ya kutoingia na simu, kalamu, kutopewa nakala ya matokeo, n.k. Haya masharti yanalenga kuiba kura.
 



Onyo kwa NEC...msichezee kura za wananchi!
Asante Handeni!​
 
Rais Lissu atasafiri daraja la kwanza kwenda kwa beberu lake Amsterdam hapo Dec 18!
Chadema mna Raha Sana kuwa na rais Vasco da Gama kabla hata hajaapishwa atakuwa tayari anaanza kuzurura.
Unafurahia eti Ana tiketi in bonge la mlo pumbafff urais wa mashoga wa ufipa huyo.
 
Mwaka huu hakuna mambo ya kujiandaa kisaikolojia, tutakutana barabarani tu rafiki.

mngekua mna akili timam na mna maanisha, mnegkua mshaenda barabarani mapema sana! kuna watu wanne wamekufa pemba hili lenyewe linatosha kuwaweka barabaran, kuna kura za awali znaendelea zanzibar hii yenyewe inatosha kuwaweka barabaran, ila umekaa kwenye keyboard unapiga kelele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…