Yaliyojiri Ligi ya Mabingwa Africa : Nkana FC yaichapa Simba SC kwa magoli 2-1

Yaliyojiri Ligi ya Mabingwa Africa : Nkana FC yaichapa Simba SC kwa magoli 2-1

Ingawa wanawakilisha nchi ila kule Z wakijitahidi ni droo au kupoteza
 
daah Leo niliota ndoto mbaya and nzuri pia
matokea ikawa kama ifuatavyo
Nkana 1-0simba
Nkana 1-1simba
Nkana 1-3simba
Okwi atakosa goli.la WAZi
kagere na okwi wata score
Simba baada ya kipindi cha kwanza atatafuta sare ya kutoka kufungana

Mpira dk 95 Tusubiri matokeo
Sare ya kutofungana kwa simba ni mbaya zaid,maana wanaweza kuja hapa mkatoka moja moja ikala kwetu
 
UZALENDO MWISHO UGANDA HUKO KWINGINE KILA MTU APAMBANE NA HALI YAKE. ALL THE BEST TO MTIBWA SUGAR!!
 
Lzma uyo nkana akae2 kwa kifo cha 2 kwa 1, kila la kheri wekundu wa Terminal
 
Kikosi Cha mnyama kinachoanza leo
Screenshot_20181215-144748~2.jpeg
 
Back
Top Bottom