Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] huyo ni ndugu yake?
Ooh. Akija atasema maana hata hilo jina sijawahi kuliona humu toka nije.Hahaha ndio ndugu yake wa damu aje tu anitolee hiki kitendawili
Sare ya kutofungana kwa simba ni mbaya zaid,maana wanaweza kuja hapa mkatoka moja moja ikala kwetudaah Leo niliota ndoto mbaya and nzuri pia
matokea ikawa kama ifuatavyo
Nkana 1-0simba
Nkana 1-1simba
Nkana 1-3simba
Okwi atakosa goli.la WAZi
kagere na okwi wata score
Simba baada ya kipindi cha kwanza atatafuta sare ya kutoka kufungana
Mpira dk 95 Tusubiri matokeo
Hakika Mkuu. 😀😀😀Mrembo kama wewe huwezi shabikia mikia
Afadhali wewe uko realistic. Wengine Wanadhani ni Mbabane Swallows.All the best mnyama unguruma king wa mbuga but nkana ni timu nzuri tucheze kwa tahadhari
Simba 2 Nkana 1Afadhali wewe uko realistic. Wengine Wanadhani ni Mbabane Swallows.