Yaliyojiri Ligi ya Mabingwa Africa : Nkana FC yaichapa Simba SC kwa magoli 2-1

Yaliyojiri Ligi ya Mabingwa Africa : Nkana FC yaichapa Simba SC kwa magoli 2-1

Mwenye uwezo aweke dau mimi naweka milioni 2 Nkana anakufa 3 Taifa. Hajawahi kupona mechi zote za Dar .
Anayetaka kuweka dau mlango upo wazi.Aliyetayari tufafute atakayehifadhi hizi pesa mfano tutume kwa moderator.
 
Back
Top Bottom