Paul Buchira
R I P
- Aug 5, 2013
- 1,043
- 564
aisee[emoji29][emoji29] ngoja nizame niupate ukweli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa nini hamkumaliza gemu kwao?Shughuli itamaliziwa kwa mchina
Shadeeya
GiulioMmeshaanza visingizio
Jamaa hajagusa hata mpira. Hakika Mungu hakupi unachotaka bali unachostahiliYaani Dilunga wanamwingiza dk ya 90. Kocha hafanya sawa, Dilunga ana uwezo mkubwa wa kubadilisha mchezo.
Vv
Lazima vichache tu. Hawawezi kuvitafunaNa viporo vinawasubiri hapa
Kwa kufungwa nje, ndani?Simba yatinga makundi,hutaki kufa
MkiingiaTunawapa uadmini makundi pekee ya whatsappsimba niwape pongez wamejitahidi sanaa
hapo tunahitaji 1-0 tuingie makundi
Nkana FCdk wa t
Dk wa timu gani
Mkuu umeangalia game? Forward zenu zote zimepoteana leo, okwi katolewa amenuna hatari hahahahaMwenye uwezo aweke dau mimi naweka milioni 2 Nkana anakufa 3 Taifa. Hajawahi kupona mechi zote za Dar .
Anayetaka kuweka dau mlango upo wazi.
Mwarabu mwenyewe hupumulia machine itakuwa Nkana?Nkana wenyewe wanalia pale wametolewa mapemaKwa kufungwa nje, ndani?
Mmeishatoka hivyo, hutaki jinyonge!
Mkuu umeangalia game? Forward zenu zote zimepoteana leo, okwi katolewa amenuna hatari hahahaha
Kwanza eti Nkana angekufa nyingi kama Mbabane. No way! Uwezo ws Nkana kufunga Dar ni 95%Mwarabu mwenyewe hupumulia machine itakuwa Nkana?Nkana wenyewe wanalia pale wametolewa mapema
Kessy mutu mubaya. Kagere mwenyewe kaonekana tukio la penati tu.Kessy sio mtu mzuri...Kaweka mfukono mzee baba Okwi.