Yaliyojiri Mahakama Kuu divisheni ya Makosa ya Uhujumu Uchumi na Rushwa, kesi ya Mbowe na wenzake - 30 Nov 2021

Ume jitutumua kufanya uchambuzi ila umeshidwa ku dhibitisha hoja zako kabisa kwa kuleta rejea ya maamuzi, wewe uko hapa kusawazisha public opinion unatetea kitu ambacho kina onekana kwamba hamna fairness katika hi kesi, Jaji kashindwa kuicheza vizri ndo shida kuazia zile pingamizi za mwanzo za upande wa utetezi.......
 
Kwa maoni yangu jamhuri ilifanya timing ya kumakata mboye yenye mashaka sana: na ndiyo maana 90/100 ya watanzania wanaamini hicho wanachoamini.Fanya survey utaona mwenyewe
 
Wewe utopolo ni nani hapo ameweka pingamizi? Ni mawakili wa Mbowe? Mida ya kuumbuliwa sasa imefika, inakuaje huyo Msemwa awe Oysterbay halaf wakati huohuo awe yupo central police? Sijui hata unaelewa nini kinaendelea...🚮🚮🚮
 
Wenzako wanaweka ubongo kichwani Wewe unaweka kinyesi??!
 
Naomba unisaidie kuona ushahidi wowote au kielelezo chochote kinachoonyesha 'kula njama kutenda vitendo vya kigaidi'. Najaribu kutafuta kila siku sijafanikiwa. Labda ni mimi sielewi.
Yaani upande wa Jamhuri mi wajinga sana... wamefunga ushahidi bila kuonyesha pasipo mashaka yoyote kuwa "kulikuwa na njama ya kupanga matukio ya ugaidi", nilitegemea kuona Jamhuri wanamleta huyo "msiri" wa serikali aliewatonya kuwa kuna njama za kufanya matukio ya ugaidi ambae ni Urio, au walete mawasiliano ya simu kati ya Mbowe na Urio wakiongelea awatafutie watu wa kufanya matukio, au rekodi ya siri ya mazungumzo kati ya Mbowe na hao makomandoo wakipanga namna watakavyofanikisha mashambulizi... kinachoendelea ni ujinga mtupu... nonsense! Kwanza I wonder wanapoteza muda kwanini!
 
Kwako wewe haki ni kina Mbowe kushinda!!

Ushahidi wa upande wa mashitaka ni wa wazi sana. Mawakili wa utetezi wamepwaya sana. Hivyo tuiache mahakama itende haki.
Waonyeshe hayo mabomu na vilipuzi vya kufanyia ugaidi. Mtashinda lakini si kwa haki
 
Mandela alipokamatwa ilijulikana kabisa kuwa atahukumiwa kifo au atapigwa mvua. Na ilikuwa hivyo. Lakini hotuba yake wakati wa hukumu ilichangia sana kufungua macho ya wazungu kuhusu ukatili wa makaburu. Wananchi wengi waliowahi kupita mikononi mwa polisi wetu au wenye ndugu ambao walipita humo humo wanaamini kabisa wakina Adamoo waliteswa hata kama Jaji atasema kuwa hamna ushahidi.

Vile vile wengi tu wamewatafuta ndugu zao vituoni wakawakosa halafu baadae wakaibuka kutokea huko huko polisi, hawa nao watawaamini wakina Adamoo kuwa hawajawahi kwenda Central kuliko wakina Msemwa. Jamii haihitaji uamuzi wa Jaji kujua kuwa kuna askari watesaji na kuwa mahabusu yanaficha watu.

Hata hii ya kukataa hivyo vitabu visitumike kama ushahidi hata kama unafuata sheria, wananchi watanusa harufu ya kutaka kuficha ukweli.

Amandla....
 

Kila rais wewe kwako hafai na Dikteta huna lolote.
Kuna mahali nimeongelea rais hapo, au unanilisha matamanio yako? Mama wa kambo sio dictator na sijawahi kusema hivyo, bali yeye anaiga tembo kunya. Kama unataka kumtetea dhalimu, sio kwa sababu za kunichomekea.
 
Bandu bandu humaliza gogo. Unadhani Mandela alipotiwa ndani watu waliandamana? Unadhani Bashir alifunga wangapi mpaka watu wakaamua kuingia mtaani?
Mbona chama chako nacho kinawatumia ili wapate wabunge na ruzuku. Pamoja na utajiri wote mliokuwa nao sijawahi kusikia mkikataa ruzuku. Ila wengine wakifanya hivyo mnaona nongwa.

Amandla...
 
Umenena!
 
Kesi yenyewe ya ugaidi haijaanza hi ni kesi ndogo ndani ya kesi kubwa, ila ina uhusiano mkubwa na kesi kubwa, hi kesi ndogo wakiipoteza ile kesi kubwa inakosa ushahidi, ndo maana nguvu zote zimetolewa katika hi trial.
 
Pole kwa kushabikia uongo. Mbowe siyo gaidi.
 
No wonder Magu alisemaga aliongea na Dr. Kigoda akiwa mahututi ICU.

CCM Ni noma.
 
Hayo magaidi hayafungwi au kunyongwa mbona yanacheleweshwa tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…