Yaliyojiri Mahakama Kuu Divisheni ya Uhujumu Uchumi kwenye kesi ya Ugaidi inayomkabili Mbowe na wenzake, kesi imeahirishwa hadi - Nov 10, 2021

Yaliyojiri Mahakama Kuu Divisheni ya Uhujumu Uchumi kwenye kesi ya Ugaidi inayomkabili Mbowe na wenzake, kesi imeahirishwa hadi - Nov 10, 2021

Kwa maelezo ya jaji mpk sasa pingamizi la upande wa utetezi limetupiliwa mbali ngoja tuone ila nahisi hivyo
 
Ushahidi lazima upokelewe hapo..ngoja tuendelee kumsikiliza judge.
 
Pingamizi limetupiliwa mbali mbona jaji wa kimkakati huyo mbowe watamfunga tu Hilo halina ubishi hata sisi tusio jua Sheria tunaona kuwa jaji yupo upande wa serikali kuwagurahisha mabosi zake alambe cheo nae hela tamu du
 
Huyu jaji hamna kitu, hukumu ilishaandikwa tayari.
 
Pingamizi limetupiliwa mbali mbona jaji wa kimkakati huyo mbowe watamfunga tu Hilo halina ubishi hata sisi tusio jua Sheria tunaona kuwa jaji yupo upande wa serikali kuwagurahisha mabosi zake alambe cheo nae hela tamu du
Kesho Polisi anaweza kumuonya mtuhumiwa kwa kutumia sheria ya mazingira na bado mahakama ikapokea maelezo ya onyo.
 
Mbowe alifanya makosa sana kukubali kujitetea kwenye hizi mahakama.
 
Tusisahau kuwa hii ni kesi ya ugaidi, watu kuuliwa kwa halaiki. Haiwezekani jambazi huyo aachiwe huru eti kwa vile tu walikosea kifungu 38(6) badala yake wakaandika 38(7), au wakasema SIKAMOO JAJI badala ya kusema SHIKAMOO JAJI. Kama walikosea wapewe warekebishe, hi siyo kesi ya ugoni.
Mzee wa RAU Madukani - nakuona nakuona... naona baada ya maamuzi haya sehemu zoote ni burudaniiii.
 
Kuna mtu alisema toka mwanzo kuwa huyo jaji atasema kuwa mazingira ya kesi nyingine zote ziluzorehewa yalikuwa mazingira tofauti, na ndicho alichofanya.

Niliwaambia toka mwanzo, kwenye kesi hii, hakuwezi kupatikana haki yoyote kwa sababu Serikali ndiyo inashtaki, maafisa wa TISS waliopo mahakamani ndio wanaopangwa kuisikiliza.

Kwa wasiofahamu ni kuwa marehemu Magufuli alimteua afisa wa Wasiojulikana kuwa msajili wa mahakama kwa lengo maalum. Lengo kubwa ni kuhakikisha zile kesi ambazo serikali inataka kuwakomoa watu, jaji atakayesikiliza ni lazima awe afisa wa Wasiojulikana.

Fikiria sasa hivi, jaji mkuu TISS, msajili wa mahakama TISS, Jaji kiongozo TISS. Sasa hivi management yote ya judiciary ipo chini ya Wasiojulikana. Hata ikitokea Mbowe akashinda kwenye kesi, msije mkadanganyika na kujipongeza, Wasuojulikana watakuwa wameamua iwe hivyo kwa lengo fulani.

Hata hukumu ya Sabaya siyo ya kufurahia, aliyehukumu ni afisa wa Wasiojulikana, lakini siyo kwa mfumo huru wa mahakama.
 
Back
Top Bottom