Immortan joe
Senior Member
- Nov 7, 2021
- 162
- 190
Uviko. Tupo wengi mkuu ngoja tuone kama kuna welediLeo hii ndo nitajua tuna mahakama lahasha...maana staki Kula chochote mpaka nione
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uviko. Tupo wengi mkuu ngoja tuone kama kuna welediLeo hii ndo nitajua tuna mahakama lahasha...maana staki Kula chochote mpaka nione
Ndiko anakoelekea, ila Mungu hadhihakiwi.Kwa maelezo ya jaji mpk sasa pingamizi la upande wa utetezi limetupiliwa mbali ngoja tuone ila nahisi hivyo
Kazi kweli kweliNdiko anakoelekea, ila Mungu hadhihakiwi.
Yeye apokee tu ila kuanzia sasa Polisi kupitia kesi hii watafanya lolote watakalo.Ushahidi lazima upokelewe hapo..ngoja tuendelee kumsikiliza judge.
Ushahidi lazima upokelewe hapo..ngoja tuendelee kumsikiliza judge.
Kesho Polisi anaweza kumuonya mtuhumiwa kwa kutumia sheria ya mazingira na bado mahakama ikapokea maelezo ya onyo.Pingamizi limetupiliwa mbali mbona jaji wa kimkakati huyo mbowe watamfunga tu Hilo halina ubishi hata sisi tusio jua Sheria tunaona kuwa jaji yupo upande wa serikali kuwagurahisha mabosi zake alambe cheo nae hela tamu du
Mzee wa RAU Madukani - nakuona nakuona... naona baada ya maamuzi haya sehemu zoote ni burudaniiii.Tusisahau kuwa hii ni kesi ya ugaidi, watu kuuliwa kwa halaiki. Haiwezekani jambazi huyo aachiwe huru eti kwa vile tu walikosea kifungu 38(6) badala yake wakaandika 38(7), au wakasema SIKAMOO JAJI badala ya kusema SHIKAMOO JAJI. Kama walikosea wapewe warekebishe, hi siyo kesi ya ugoni.