Yaliyojiri Mahakama Kuu kesi ndogo ya Mbowe, Superitendent Jumanne Malangahe atoa Ushahidi

Nimekuelewa sana,namin asilimia kubwa ya wana wa Dunia hii tunaamin mbowe sio Gaidi,ila huyu chifu Hangaya anataka kuiaminisha dunia yakuwa,Mbowe ni gaidi,hizi mahakama zifuata tu atakacho Hangaya
Hangaya alishaitangazia dunia kuwa Mbowe ni Gaidi, hii kauli hakuna jaji yeyote wa Tanzania atakwenda kinyume nayo
 
inamaana mpk hii saa nane hakuna kinachoendelea hapo high court
 
Hapa swala sio nani CCM nani CHADEMA, hapa swala ni what's right and what is wrong.

Sio ndo ukishakuwa wa chama flani uwe unapinga pinga tu, vichwa vikubwa lakini hatufikirii.

Ila nisilaumu sana maana wengi wenu hamjui hata harufu ya wino.
 
nikupoteza muda tu mbowe anatakiwa awe ameshaanza kutumikia miaka yake 30 muda mrefu
Unachuki Sana wewe utafikiri umezaliwa na shetani. Akili yako inaonyesha huwez kuwa ata Hakim Wala kiongoz yoyote
 
Dunia nzima inafahamu kwamba Mbowe siyo Gaidi na inafahamu pia kwamba hizi ni njama za kishamba za serikali ya Tanzania kuogopa Katiba mpya na Tume huru ya Uchaguzi
Haya mambo aliandaa 7ya, kutaka kudhuriwa yeye, mashahidi watu wake wakaribu (wanufaika wake) uhusiano wao tu ni shaka kutoa ushahidi wa kuaminika licha ya tabia yake ya kuwaangamiza wenzake kisiasa ambayo aliapa kuwakomesha, hii ni sehemu ya mikakati ya muda mrefu taka kipindi cha jiwe, mama anaangalia tu!
 
Kweli kabsaaa,umeona kama mimi.mawakili wa Jamhuri ni motooooooo!!!
 
kesi leo ipoje ?
naona watu wamekata tamaa kutokana na majaji wanavyoiendesha. Wananchi wanaamua kuwa Mbowe anyamaze, waamue wanavyotaka , mapambano yaanzie hapo the way forward.
 
Nimekuelewa sana,namin asilimia kubwa ya wana wa Dunia hii tunaamin mbowe sio Gaidi,ila huyu chifu Hangaya anataka kuiaminisha dunia yakuwa,Mbowe ni gaidi,hizi mahakama zifuata tu atakacho Hangaya

Ile ndege na ruban wake iliyopotea kuke mkoawa ruvuma imeniuma sana mno Bora ingeanguka baharinu ile iliyo enda misiri Cairo.
 
naona watu wamekata tamaa kutokana na majaji wanavyoiendesha. Wananchi wanaamua kuwa Mbowe anyamaze, waamue wanavyotaka , mapambano yaanzie hapo the way forward.
CCM hawajui kusoma alama za nyakati, wakimfunga mbowe maisha wasifikiri ndiyo watapumua - watakuwa wamejipalia makaa aka kuoga maji ya upupu.

anayeweza kuwashauri hawa jamaa na afanye sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…