Lakini mbona kwa muenendo wa kesi hii wanasheria upande wa utetezi wanatufunulia mambo mengi ambayo hayaitaji kufika chuo kikuu kuona kwamba haki isipotendeka kuna mkono wa mtu.
Aisee hebu tumia vizuri akili ulizopewa na Mungu, yani mtu anafanya kazi yake ya kihalali kabisa unataka apatwe na laana kivipi? Usichanganye hisia zako na professionalism. Unaweza kukuta na yeye ni shabiki mzuri wa Mbowe lakini hapo yupo kutimiza majukumu yake ya kazi.Kijana anaingia kwenye mnyororo wa laana kushiriki genge la kutaka kuwafunga watu wasio na kosa...!! Habari hii imfikie mkewe na watoto wake baba na mama yake kwamba gundu linakwenda kupiga kambi katika hii familia.
afu nyamizi na wewe unaniangusha, hapo kwenye version unaongelea data security against hackers, upo ? je info za mteja haziwezi kuwa hacked ? security system ya Tigo ina ubora upi? ina viwango vinavyotakiwa ? je kuna uwezekano huyu jamaa aliingia tu anachota data akawapa police bila kufuata utaratibu wa Tigo ama alifanikisha kwa sababu system data server ni weak ?
Ndugu, hamna shahidi mule, katoka nje ya script.. hakuna muunganiko na wenzake, kila shahidi so far anacheza nje ya script - too bad kwa mwanasheria wetu, mzee wa SQL server - katuangusha.Aisee hebu tumia vizuri akili ulizopewa na Mungu, yani mtu anafanya kazi yake ya kihalali kabisa unataka apatwe na laana kivipi? Usichanganye hisia zako na professionalism. Unaweza kukuta na yeye ni shabiki mzuri wa Mbowe lakini hapo yupo kutimiza majukumu yake ya kazi.
Ule uamuzi umekatiwa Rufaa.Ndugu yangu hakuna cha kulipishwa Mabilion wala mamilion.Ukweli ni kuwa hamuangalii msingi mzima wa hii kesi,nyie mnademka tu na hizi mbwembwe za mawakili.Ndiyo maana nikawaambia kile kitu kizito cha PGO tulichopigwa nacho kichwani kinajirudia muda si mrefu,tutakutana hapa tena kutoa makasiriko yetu kwa Mh.Jaji.
Hii ni blesing in disguise Ili kuthibitisha kuwa mtuhumiwa sio gaidi,Eti hamfahamu Mbowe kama Kiongozi wa chadema/kiongozi wa chama cha upinzani! 😁😁😁
Aisee hii nchi ina viazi wengi sana!
Nadhani hapo mnatofautiana nyinyi wawili. Huyu Nyamizi hajui logics, hivyo hawezi kuwa na uwezo wa ku connect facts......yeye shahdi kwa nini alitaja wakati anaongozwa na wakili wa serikali ? tulikuwa na umuhimu gani pia kutuambia yeye ni mwanasheria na pia kasomea mambo ya IT Security na SQL database Server india ?
India ina uhusiano gani na kesi hii ?
Itakua hauna akili ya uelewa wa haya mambo
Hivi kumbe na wewe ni wakala wa shetani CCM,nilikuwa nakuona upo vizuri upstair,kumbe na wewe ni miongoni mwa walamba miguu pale LUmumbaWatakuja kukuelewa mwisho wa hii kesi,kwa sasa wao wanafurahia mbwembwe za mawakili wa utetezi na maswali yao ya “uliprint au screenshot”[emoji3][emoji3]
Yaani kumbe Tigo mfanyakazi yeyote anweza "kula njama" na akauza taarifa zako chap chap apige mpunga wake...Ndio shangaa hapo aisee
Jamaa ananishangaza sana kwa anayoyaandika. Eti mbwembwe za mawakili wakati wanapigania HAKI ya Baba watoto, Mume na Kiongozi wa Chama kikubwa nchini ambaye anaweza kufungwa miaka 30 au hata maisha!!! Ama kweli siku zote mkuki ni kwa nguruwe. Angekuwa Mbowe anamhusu au yeye ndiye aliyebambikiwa hii kesi FEKI asingeandika aliyoyaandika.
Kumbe kutengeneza kesi ni kazi Sana.Ndugu, hamna shahidi mule, katoka nje ya script.. hakuna muunganiko na wenzake, kila shahidi so far anacheza nje ya script - too bad kwa mwanasheria wetu, mzee wa SQL server - katuangusha.
kafia mbele huna jipya.Hii ilianzia kwenye kesi ndogo ya nyuma. Wao wanajikita kwenye maswali mepesi mambo makubwa yanawapita. Jaji aliwashangaa kwa jinsi walivyo ruhusu ushahidi kupokelewa wakati walikuwa na nafasi ya kuupinga na hii ilikuwa obvious hata kwa asiye mwanasheria. Sina uhakika wa maswali ya kunywa mo energy nk yalikuwa na tija kama ambavyo maswali yao hanaelea kwenye vitu vidogo na kuacha kuonyesha mapungufu ya mashataka. Kwa mfano wameng`ang`ania usiri wa taarifa za mteja wa TIGO ambao sidhani kama unaathari iwapo taarifa zilizotolewa zina ukweli. Suala la Usiri wa wateja na TIGO wangewaachia wateja huko nje ya kesi. Hapa issue taarifa ni ya ukweli au siyo na waprove hivo mahamakamani . Hii si kesi ya ushabiki kwani kosa moja mtu anafungwa hivyo umakini unatakiwa uonekane na sisi wafuatiliaji tuchambue kwa umakini badala ya ushabiki kutawala
Yaani kumbe ni kweli elimu ya sheria ni elimu ya kuvunja sheria...Yes ila na yeye anajikanyaga.!!
Aaaah sikuwa najua mimi, basi kama ni hivyo kila mtu ashinde mechi zake.Mwenzako akilia usipomsikiliza , muda wako wa kulia ukifika hatakusikiliza. Unaweza kudharau kilio Cha wapinzani. Lakini Magufuli alipofariki. Watu wake wakaanza kulia kwamba ameuaa.
Na ameapa ndani ya mahakama kwamba atasema "kweli, tena kweli tupu" Sasa kusema hamjui Freeman Mbowe ni uongo wa wazi kabisa na unamshushia hadhi ndani ya mahakama na katika ushahidi wake.Huyu ni mwanasheria watu ambao wanatakiwa kuwa well informed with all curent affairs halafu unasema humjui Mbowe? hii ni akili ya wapi? anataka kumdanganya nani?
Maamuzi ya mwisho ni ya Jaji,iwe ya HakNitarudi hapa kukukumbusha mwisho wa kesi hii
We huwezi kuona kitu chochote sababu ya Huba uliyonayo.Nafuatilia vizuri sana na wala sijaona cha ajabu kutoka kwa Matata wala Kibatala zaidi ya “mbwembwe” za Mawakili
Hivi mkuu, ni sifa gani kuu inayomfanya mjumbe humu kuwa Platinum Member! Naona wengine wana uelewa na mihemko kama ya akina Bia yetu!