Nyamizi
Platinum Member
- Feb 19, 2009
- 9,186
- 13,757
Lakini mbona kwa muenendo wa kesi hii wanasheria upande wa utetezi wanatufunulia mambo mengi ambayo hayaitaji kufika chuo kikuu kuona kwamba haki isipotendeka kuna mkono wa mtu.
Ndiyo maana ikaitwa kesi,na kuna mambo mengi pia ambayo unaweza ukayapa tafsiri yako ya kawaida na kumbe mbele ya sheria ni tofauti kabisa.Kikubwa tukubaliane na lolote litakalotokea Mahakamani mwisho wa kesi,tusije tena na zile tafsiri zetu tukaanza kumtupia lawama Jaji kama tulivyofanya baada ya maamuzi ya ile kesi ndogo