Yaliyojiri Mahakama Kuu Kesi ya Mbowe na Wenzake: Shahidi Afred Kapala wa tiGO atoa Ushahidi, Kesi kuendelea, Nov 03, 2021

Yaliyojiri Mahakama Kuu Kesi ya Mbowe na Wenzake: Shahidi Afred Kapala wa tiGO atoa Ushahidi, Kesi kuendelea, Nov 03, 2021

Lakini mbona kwa muenendo wa kesi hii wanasheria upande wa utetezi wanatufunulia mambo mengi ambayo hayaitaji kufika chuo kikuu kuona kwamba haki isipotendeka kuna mkono wa mtu.

Ndiyo maana ikaitwa kesi,na kuna mambo mengi pia ambayo unaweza ukayapa tafsiri yako ya kawaida na kumbe mbele ya sheria ni tofauti kabisa.Kikubwa tukubaliane na lolote litakalotokea Mahakamani mwisho wa kesi,tusije tena na zile tafsiri zetu tukaanza kumtupia lawama Jaji kama tulivyofanya baada ya maamuzi ya ile kesi ndogo
 
Kijana anaingia kwenye mnyororo wa laana kushiriki genge la kutaka kuwafunga watu wasio na kosa...!! Habari hii imfikie mkewe na watoto wake baba na mama yake kwamba gundu linakwenda kupiga kambi katika hii familia.
Aisee hebu tumia vizuri akili ulizopewa na Mungu, yani mtu anafanya kazi yake ya kihalali kabisa unataka apatwe na laana kivipi? Usichanganye hisia zako na professionalism. Unaweza kukuta na yeye ni shabiki mzuri wa Mbowe lakini hapo yupo kutimiza majukumu yake ya kazi.
 
afu nyamizi na wewe unaniangusha, hapo kwenye version unaongelea data security against hackers, upo ? je info za mteja haziwezi kuwa hacked ? security system ya Tigo ina ubora upi? ina viwango vinavyotakiwa ? je kuna uwezekano huyu jamaa aliingia tu anachota data akawapa police bila kufuata utaratibu wa Tigo ama alifanikisha kwa sababu system data server ni weak ?

Hapo nimekupata vyema Mkuu [emoji1666]
 
Aisee hebu tumia vizuri akili ulizopewa na Mungu, yani mtu anafanya kazi yake ya kihalali kabisa unataka apatwe na laana kivipi? Usichanganye hisia zako na professionalism. Unaweza kukuta na yeye ni shabiki mzuri wa Mbowe lakini hapo yupo kutimiza majukumu yake ya kazi.
Ndugu, hamna shahidi mule, katoka nje ya script.. hakuna muunganiko na wenzake, kila shahidi so far anacheza nje ya script - too bad kwa mwanasheria wetu, mzee wa SQL server - katuangusha.
 
Ndugu yangu hakuna cha kulipishwa Mabilion wala mamilion.Ukweli ni kuwa hamuangalii msingi mzima wa hii kesi,nyie mnademka tu na hizi mbwembwe za mawakili.Ndiyo maana nikawaambia kile kitu kizito cha PGO tulichopigwa nacho kichwani kinajirudia muda si mrefu,tutakutana hapa tena kutoa makasiriko yetu kwa Mh.Jaji.
Ule uamuzi umekatiwa Rufaa.
 
Eti hamfahamu Mbowe kama Kiongozi wa chadema/kiongozi wa chama cha upinzani! 😁😁😁

Aisee hii nchi ina viazi wengi sana!
Hii ni blesing in disguise Ili kuthibitisha kuwa mtuhumiwa sio gaidi,

KWA hiyo sura yake haikuwasilishwa tigo wakati wa kusajili line
 
yeye shahdi kwa nini alitaja wakati anaongozwa na wakili wa serikali ? tulikuwa na umuhimu gani pia kutuambia yeye ni mwanasheria na pia kasomea mambo ya IT Security na SQL database Server india ?

India ina uhusiano gani na kesi hii ?
Nadhani hapo mnatofautiana nyinyi wawili. Huyu Nyamizi hajui logics, hivyo hawezi kuwa na uwezo wa ku connect facts......

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Itakua hauna akili ya uelewa wa haya mambo

Nachukia sana mtu anaeshindwa kutetea hoja yake na kuishia kuja na lugha za kipuuzi kama wewe,achana na mimi kabisa,acha niendelee kujibishana na kina Scars FUSO na wengine wenye kuelewa nini maana ya kushindana kwa hoja,naomba pita kule kwenye Comments zangu.Asante.
 
Watakuja kukuelewa mwisho wa hii kesi,kwa sasa wao wanafurahia mbwembwe za mawakili wa utetezi na maswali yao ya “uliprint au screenshot”[emoji3][emoji3]
Hivi kumbe na wewe ni wakala wa shetani CCM,nilikuwa nakuona upo vizuri upstair,kumbe na wewe ni miongoni mwa walamba miguu pale LUmumba
 
Jamaa ananishangaza sana kwa anayoyaandika. Eti mbwembwe za mawakili wakati wanapigania HAKI ya Baba watoto, Mume na Kiongozi wa Chama kikubwa nchini ambaye anaweza kufungwa miaka 30 au hata maisha!!! Ama kweli siku zote mkuki ni kwa nguruwe. Angekuwa Mbowe anamhusu au yeye ndiye aliyebambikiwa hii kesi FEKI asingeandika aliyoyaandika.

Ulitakaje kwa mfano,niwe naitikia tu Ndiyo Mzee, hoja zinapingwa kwa hoja,ukiona sina hoja unaskip unaendelea na maisha,Simple.
 
Ndugu, hamna shahidi mule, katoka nje ya script.. hakuna muunganiko na wenzake, kila shahidi so far anacheza nje ya script - too bad kwa mwanasheria wetu, mzee wa SQL server - katuangusha.
Kumbe kutengeneza kesi ni kazi Sana.
 
Hii ilianzia kwenye kesi ndogo ya nyuma. Wao wanajikita kwenye maswali mepesi mambo makubwa yanawapita. Jaji aliwashangaa kwa jinsi walivyo ruhusu ushahidi kupokelewa wakati walikuwa na nafasi ya kuupinga na hii ilikuwa obvious hata kwa asiye mwanasheria. Sina uhakika wa maswali ya kunywa mo energy nk yalikuwa na tija kama ambavyo maswali yao hanaelea kwenye vitu vidogo na kuacha kuonyesha mapungufu ya mashataka. Kwa mfano wameng`ang`ania usiri wa taarifa za mteja wa TIGO ambao sidhani kama unaathari iwapo taarifa zilizotolewa zina ukweli. Suala la Usiri wa wateja na TIGO wangewaachia wateja huko nje ya kesi. Hapa issue taarifa ni ya ukweli au siyo na waprove hivo mahamakamani . Hii si kesi ya ushabiki kwani kosa moja mtu anafungwa hivyo umakini unatakiwa uonekane na sisi wafuatiliaji tuchambue kwa umakini badala ya ushabiki kutawala
kafia mbele huna jipya.
 
Mwenzako akilia usipomsikiliza , muda wako wa kulia ukifika hatakusikiliza. Unaweza kudharau kilio Cha wapinzani. Lakini Magufuli alipofariki. Watu wake wakaanza kulia kwamba ameuaa.
Aaaah sikuwa najua mimi, basi kama ni hivyo kila mtu ashinde mechi zake.

Namaanisha ikifika muda wa CCM kulia acha walie,na wakati wa wapinzani kulia walie pia.
 
Huyu ni mwanasheria watu ambao wanatakiwa kuwa well informed with all curent affairs halafu unasema humjui Mbowe? hii ni akili ya wapi? anataka kumdanganya nani?
Na ameapa ndani ya mahakama kwamba atasema "kweli, tena kweli tupu" Sasa kusema hamjui Freeman Mbowe ni uongo wa wazi kabisa na unamshushia hadhi ndani ya mahakama na katika ushahidi wake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi mkuu, ni sifa gani kuu inayomfanya mjumbe humu kuwa Platinum Member! Naona wengine wana uelewa na mihemko kama ya akina Bia yetu!

Hata hiyo ya Platinum Member unaona wivu[emoji3][emoji3].Waulize Wakongwe JF watakuelewesha vizuri na kama unaona nafaidika mno basi chukua wewe kiroho safi[emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom