Yaliyojiri Mahakama Kuu Kesi ya Mbowe na Wenzake: Shahidi Afred Kapala wa tiGO atoa Ushahidi, Kesi kuendelea, Nov 03, 2021

😂😂😂 Kama wakili wao hamjui mbowe sisi tutamjuaje nandi? Alafu wanatulazimishia, shenz kabisa!

Utakuta hata huyo nandi mwenyewe hajui kama tigo wanalazimishia nyimbo zake kwa watu, si ajabu hapokei mirahaba stahiki. Mwana FA na AY waliwahi kuwashtaki tigo kwa mchezo kama huu wakalipwa shilingi bilioni 2.1 wakili wao akiwa Alberto msando enzi zile akiwa na akili timamu.

Tigo inanuka! Ndio maana baada ya mwendazake kutupwa shimoni, mwekezaji wa ndani wa MIC Tanzania Ltd Yusuph Manji alikuja chap akauzilia mbali hisa zake. Nadhani alishajua kuna bomu litalipuka soon, sasa hawa wamadagaska wameuziwa mbuzi kwenye gunia maskini ya mungu, labda rostam atumie mbinu za ziada.
 
Serikali iliyojaa madhalimu ambao wamepewa nafasi za juu katika taasisi mbali mbali za Serikali ili kusimamia na kuitetea HAKI lakini wao ndiyo wamekuwa mstari wa mbele KUISIGINA HAKI. Haki katika nchi yoyote ile huleta maendeleo, upendo, mshikamano na amani miongoni mwa raia na udhalimu na dhuluma huleta chuki, kupotea kwa upendo na amani miongoni mwa raia na pia nchi kukosa maendeleo ya kweli.


Ulitakaje kwa mfano,niwe naitikia tu Ndiyo Mzee, hoja zinapingwa kwa hoja,ukiona sina hoja unaskip unaendelea na maisha,Simple.
 
Nadhani hapo mnatofautiana nyinyi wawili. Huyu Nyamizi hajui logics, hivyo hawezi kuwa na uwezo wa ku connect facts......

Sent using Jamii Forums mobile app

Asante sana Muheshimiwa kwa busara zako za hali ya juu kabisa,unaonekana wewe una uelewa mkubwa sana hapa Duniani kuliko hata kina Marehemu Steve Job,lakini swali dogo tu,mbona upo hapa unaranda randa na maarifa yako tele,ulipaswa kwa sasa uwe kama ni kina Mark Zuckerberg [emoji23][emoji23][emoji23]
 
😂😂😂😂😂😂 Mkuu nikifunguka hapa naweza kula BAN ndefuuuu. Kwani hilo swali hata mimi nimewahi pia kujiuliza. Ni bora tu nipige kimya Mkuu.

Hivi mkuu, ni sifa gani kuu inayomfanya mjumbe humu kuwa Platinum Member! Naona wengine wana uelewa na mihemko kama ya akina Bia yetu!
 
Hivi kumbe na wewe ni wakala wa shetani CCM,nilikuwa nakuona upo vizuri upstair,kumbe na wewe ni miongoni mwa walamba miguu pale LUmumba

Sihitaji Confirmation yako ya kuniona vizuri Upstairs,hainiletei mkate mezani kwangu.
 

Hapa sasa tunaweza kuendelea na mjadala kiroho safi [emoji1666]
 
Reactions: BAK
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mkuu nikifunguka hapa naweza kula BAN ndefuuuu. Kwani hilo swali hata mimi nimewahi pia kujiuliza. Ni bora tu nipige kimya Mkuu.

Aisee sikuwa najua kama vitu vidogo vidogo kama hivi huwa vinawafanya watu waumie.Kwamba inabidi hadi kwenda kuchungulia status ya Member kwanza ndiyo ujue unamjibu vipi.Mkuu ambia kina Melo waondoe hiyo Platnum Membeship wala hainipunguzii au kuongeza chochote.[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Hivi TIGO MIC hakuna kitu kinachoitwa "Separation of Duty"? Yawezekana vipi mtu mmoja apokee barua, aijibu yeye na aipeleke polisi? Yaani TIGO hakuna Registry Section? TIGO mnatia aibu, kama ndio huduma zenu ziko hivi hakuna haja ya kuwa na nyie. Mnatuangusha sana wateja wenu. Kuanzia leo naanza kuiona kesho yenu ikiwa nyeusi kwenye soko la huduma za simu
 
Swala la Rufaa hilo linajulikana lakini hukumu ya mwanzo inajulikakana nani alipoteza.Matokeo ya Rufaa hayo yatakuja baadae.
Unapoteza kwa "mtazamo wangu, maoni yangu, navyoona mimi"

Ndio unapoteza? Hakuna kifungu cha sheria hata kimoja kilicho tumika, kimsingi ametusaidia sisi, hukum mpekee unatosha kubatili maamuz , hakuna haja ya ku review
 
Ww n mjinga hujasikiliza

Hakuna uthibitisho kwamba namba ni namba ya Mbowe
Hakuna picha wala jina la Mbowe kwenda vithinitsho,
Hakuna namba ya kitambulisho kilichotumika kusajili , hakuna finger print wala sehem aliposajilia namba wala alie msajilia
Barua hazina jina kaandika nani, hazina uthibitisho

Yote hayo hujaona na ndio mambo ya muhm umeenda kubeba kakipande
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…