Nyamizi
Platinum Member
- Feb 19, 2009
- 9,186
- 13,757
na pesa ilikua imeshalipwa mzee fuatilia vizuri
Sasa si watairudisha,lakini point kuhwa hapa ni Tigo walishinda ile kesi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
na pesa ilikua imeshalipwa mzee fuatilia vizuri
😂😂😂 Kama wakili wao hamjui mbowe sisi tutamjuaje nandi? Alafu wanatulazimishia, shenz kabisa!Yani mimi juzi nimesajili line ile naweka vocha si wakanikata 200 eti ya muito kwenye nyimbo ya nandy, nandy mwenyewe simfahamu lakini tigo wamenibashiria interest yangu wakanipa nandy
Nafikiria hapa sijui nimwambie kibatala ashikilie bomba mambo yawe msololo tu, huyo wakili wa tigo angekua mtaani chupa za mikojo zingerushwa
Ulitakaje kwa mfano,niwe naitikia tu Ndiyo Mzee, hoja zinapingwa kwa hoja,ukiona sina hoja unaskip unaendelea na maisha,Simple.
Ule uamuzi umekatiwa Rufaa.
Kwa majibu alivyokuwa anayatoa huyo anatakiwa kufukuzwa Kazi na TigoKijana anaingia kwenye mnyororo wa laana kushiriki genge la kutaka kuwafunga watu wasio na kosa...!! Habari hii imfikie mkewe na watoto wake baba na mama yake kwamba gundu linakwenda kupiga kambi katika hii familia.
Nadhani hapo mnatofautiana nyinyi wawili. Huyu Nyamizi hajui logics, hivyo hawezi kuwa na uwezo wa ku connect facts......
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi mkuu, ni sifa gani kuu inayomfanya mjumbe humu kuwa Platinum Member! Naona wengine wana uelewa na mihemko kama ya akina Bia yetu!
Hivi kumbe na wewe ni wakala wa shetani CCM,nilikuwa nakuona upo vizuri upstair,kumbe na wewe ni miongoni mwa walamba miguu pale LUmumba
Serikali iliyojaa madhalimu ambao wamepewa nafasi za juu katika taasisi mbali mbali za Serikali ili kusimamia na kuitetea HAKI lakini wao ndiyo wamekuwa mstari wa mbele KUISIGINA HAKI. Haki katika nchi yoyote ile huleta maendeleo, upendo, mshikamano na amani miongoni mwa raia na udhalimu na dhuluma huleta chuki, kupotea kwa upendo na amani miongoni mwa raia na pia nchi kukosa maendeleo ya kweli.
Wakili wa serikali: basi naishia hapo lakini nakaa kwa hasira, hayo maneno ya wakili ya kumtishia jaji hayakubaliki
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mkuu nikifunguka hapa naweza kula BAN ndefuuuu. Kwani hilo swali hata mimi nimewahi pia kujiuliza. Ni bora tu nipige kimya Mkuu.
Unapoteza kwa "mtazamo wangu, maoni yangu, navyoona mimi"Swala la Rufaa hilo linajulikana lakini hukumu ya mwanzo inajulikakana nani alipoteza.Matokeo ya Rufaa hayo yatakuja baadae.
Katamka ndiyoKatamka hayo? 😳 😳 😳
Katamka ndiyo
Ww n mjinga hujasikilizaHii ilianzia kwenye kesi ndogo ya nyuma. Wao wanajikita kwenye maswali mepesi mambo makubwa yanawapita. Jaji aliwashangaa kwa jinsi walivyo ruhusu ushahidi kupokelewa wakati walikuwa na nafasi ya kuupinga na hii ilikuwa obvious hata kwa asiye mwanasheria. Sina uhakika wa maswali ya kunywa mo energy nk yalikuwa na tija kama ambavyo maswali yao hanaelea kwenye vitu vidogo na kuacha kuonyesha mapungufu ya mashataka. Kwa mfano wameng`ang`ania usiri wa taarifa za mteja wa TIGO ambao sidhani kama unaathari iwapo taarifa zilizotolewa zina ukweli. Suala la Usiri wa wateja na TIGO wangewaachia wateja huko nje ya kesi. Hapa issue taarifa ni ya ukweli au siyo na waprove hivo mahamakamani . Hii si kesi ya ushabiki kwani kosa moja mtu anafungwa hivyo umakini unatakiwa uonekane na sisi wafuatiliaji tuchambue kwa umakini badala ya ushabiki kutawala