Yaliyojiri Mahakama Kuu Kesi ya Mbowe na Wenzake: Shahidi Afred Kapala wa tiGO atoa Ushahidi, Kesi kuendelea, Nov 03, 2021

Mjinga n mjinga tu period, iwe ID fake iwe nje ya mtandao kama n mjinga ww n mjinga tu

Kwa heshim yako naomba uwe una skip comments zangu,sina muda wa kujibizana na mtu anaetumia lugha ya kipuuzi.Please skip my comments [emoji1666]
 
Hii Tanzania kuna mtu hamfahamu mbowe? Nimeshangaa sana huyo shahidi msomi hafahamu mbowe ni kiongozi wa upinzani .
Hivi Hakimu anapojua kabisa kwamba shahidi ametoa jibu la uwongo huwa anachukuliaje?
 
Reactions: BAK
Me too.
 
Hivi Hakimu anapojua kabisa kwamba shahidi ametoa jibu la uwongo huwa anachukuliaje?
hapo jaji hana lakufanya kwa mawakili wajanja wanaweza wakaendelea hayo maswali na mwishowe anaweza kujichanganya kwamba anamjua ndo atakapojifunga na ushahidi kuonekana wa uongo
 
Mawakili wa serekali Hamna kitu , eti wanataka kuthibitisha miamala ya 600,000 ilyotumika kwenye kinachoitwa ugaidi. Upuuzi tu na kupoteza muda
 

Kwanini hutaki kuamini kuwa hamjui? (japo uwezekano ni mdogo).Utamlazimisha vipi mtu akubali kuwa anamfahamu mtu flan mbele ya Mahakama?

Kuna kesi ngapi huko huko Mahakamani watu huwa wanakana kuwa hamjui tena ndugu yake wa damu itakuja kuwa huyu Mwanasheria.Kukana kwake pengine alijua angekubali kulikuwa na maswali yangefuatia ambayo alikuwa anayakwepa.Kumbuka huyu ni Learned Brother sawa tu na Kina Kibatala. Anaujua mchezo vizuri sana unavyokwenda wa cross examination
 
Haha IT gan io mkuu

Sijaona maswali ya IT apo ya kutisha .. yot ni ya kawaida sana kam na ww umesom IT nadhani unalitambua hilo
 
Haha IT gan io mkuu

Sijaona maswali ya IT apo ya kutisha .. yot ni ya kawaida sana kam na ww umesom IT nadhani unalitambua hilo
 
Huelewi, inachotakiwa katika kesi za jinai ni ku destroy credibility ya shahidi and this has been done successfully!
 
Kwa kuzungatia maelezo yake, huyo FREDY (Frank Kapala) ni shushushu, wakala wa Polisi/Usalama wa Taifa aliyepandikizwa pale TIGO, idara ya sheria.
basi hana lolote.....
 
Hawa mawakili waliowaweka wako pale ili kucheza na trend za mitandaoni, kijipatia umaarufu na wateja.Hakuna cha maana wanacho-push.
Ndio ninachokiona hapo maana hadi mambo ya mtuhimiwa kunywa Mo energy ya nini na Raia wasioelewa wanajua basi hayo maswali magumu kweli kweli
 
Nafuatilia vizuri sana na wala sijaona cha ajabu kutoka kwa Matata wala Kibatala zaidi ya “mbwembwe” za Mawakili
kama hujaona chochote basi huna tofati na huyo Fredy. Kwenye system ambazo judiciary ni independent, huyu shahidi ushahifdi wake ni wa kutupwa maana haaminiki tena.....
 
Kinachokuja akilini mwangu line ya mbowe ni ya kuchongwa ,wakaweka hela na kutuma,sasa kwenye usajili wake ndo panapojichanganya maana aliyemsajilia hajulikani
Hapa ndio unapojionea uogo wa hali ya juu. Na kwa maana hiyo Mbowe nae anaweza kuikataa. Hii nchi imejaa vitimbi sana. Hawa akina Mahita sijui wanajisikiaje kuona Mbowe yupo mbali na familia yake. Ila naamini hawa uwa wanapata mateso sana uzeeni.
 
Huyu wa TIGO ni kitengo hakuna hata siri.. toka lini Mwanasheria akajiingiza kutoa siri za longroom. Hapa hakuna kesi kuna ujinga tu.
 
Nakumbuka kuna wakati kule Marekani kampuni ya Apple ilikataa kutoa taarifa ya simu za wateja wao waliokuwa wakituhumiwa kwa makosa ya ugaidi na huku watuhumiwa wenyewe wakiwa wameshauawa na polisi.

Ilibidi FBI wasaidiwe na kampuni moja ya Israel kupata hizo taarifa baada ya kushindikana kuzipata nchini Marekani kwa sababu ya sheria kali za Privacy Rights Protection Law.

Sasa hapa Tanzania polisi wakitaka kujua hata namna unavyojamiana na mke wako watatumia ubabe tu na mara moja watakuwa na full information. Nchi kama yetu hii ni ya hovyo ni hakuna mfano.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…