mr_politician
JF-Expert Member
- Sep 20, 2015
- 631
- 452
na A yako ya Kiswahili,Ungelimpata hapo, Basi ushindi wake unakuwa wa uongo maana Kama unasema Uongo wa wazi kuwa humjui mtu maarufu Kama Mbowe na wewe Ni Mwanasheria Wakili, logical deduction Ni kuwa na yote uliyoyasema hatupashwi kuyaamini.
"Mabush" layer tunasema hivyo au vipi"[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Sitaki nieleweke natetea uozo wa watendaji wa serkali lkn nataka nifikiri kukwepa mitego ya kisheria ya mawakili.Ni mtu mjinga tu anaeweza kuona maswali haya ni mepesi na hayana maana!
mpaka shahidi anatoka mahakamani haijulikani laini ya mbowe ilisajiriwa na nani kosa kubwa waulizeni mawakala huko mtaani kila wakala...
Tena swali linasema unafahamu kwenye issue hii. Sasa jiulize issue ni Kesi. Je shahidi anajua kuwa imefunguliwa kama kiongozi wa upinzani? Shahidi alikuwa sawa kukwepaKwanini hutaki kuamini kuwa hamjui? (japo uwezekano ni mdogo).Utamlazimisha vipi mtu akubali kuwa anamfahamu mtu flan mbele ya Mahakama?...
yote yanatumika sawa, googlena A yako ya Kiswahili,
unapo sahihisha wenzako, jichunguze wewe kwanza.
Hatupashwi au ni Hatupaswi..?
Mchengerwa.Kabisa laana ianze juu mpaka chini
1. Simion Sirro
2. Kingai....
Amina
tafuta their use in sentences, they are used interchangeably! Ok enjoy your day!halipo mkuu,
ila it's ok.
MaushungiKabisa laana ianze juu mpaka chini
1. Simion Sirro
2. Kingai
3. Mahita
4. Jumanne
5. Godluck
6. Justine kaaya
7. Anitha
8. Coplo Hamidu
Hayo unayajuwa wewe mke wake, mimi siyajui.Mbona Mbowe alidanganya kavunjwa mguu na wasiojulikana kumbe alibugia Faru John?
Alidanganya account zake zilifungwa na TRA kumbe ugonvi wa kifamilia?
Mbona hukudemuka Kama leo?
M
Tigo haina jukumu la kulinda usiri wa wateja wake. Kuliweka wazi hili limenifanya kuitoa line ya tigo kwenye simu yangu. Kumbe hata wife anaweza kwenda kwa Alfred na kupata taarifa za mcharuko wangu. Mtu mmoja anamaliza kila kitu, no check and balance.Shahidi no 5 mbwembwe nyingi... training training..degree ya sheria ha ha ha
Ngoja tusubiri atakavyoumbuka na leo kibarua chake Tigo kinakwenda kuisha.
Kumbe wewe mke wake, samahini.Hayo unayajuwa wewe mke wake, mimi siyajui.
Kwa hiyo kusoma na kuelewa huwezi; ya nini niendelee kupoteza muda wangu na wewe!Kumbe wewe mke wake, samahini.