Yaliyojiri Mahakama Kuu Kesi ya Mbowe na Wenzake: Shahidi Afred Kapala wa tiGO atoa Ushahidi, Kesi kuendelea, Nov 03, 2021

Yaliyojiri Mahakama Kuu Kesi ya Mbowe na Wenzake: Shahidi Afred Kapala wa tiGO atoa Ushahidi, Kesi kuendelea, Nov 03, 2021

Ungelimpata hapo, Basi ushindi wake unakuwa wa uongo maana Kama unasema Uongo wa wazi kuwa humjui mtu maarufu Kama Mbowe na wewe Ni Mwanasheria Wakili, logical deduction Ni kuwa na yote uliyoyasema hatupashwi kuyaamini.

"Mabush" layer tunasema hivyo au vipi"[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
na A yako ya Kiswahili,
unapo sahihisha wenzako, jichunguze wewe kwanza.

Hatupashwi au ni Hatupaswi..?
 
Ni mtu mjinga tu anaeweza kuona maswali haya ni mepesi na hayana maana!
mpaka shahidi anatoka mahakamani haijulikani laini ya mbowe ilisajiriwa na nani kosa kubwa waulizeni mawakala huko mtaani kila wakala...
Sitaki nieleweke natetea uozo wa watendaji wa serkali lkn nataka nifikiri kukwepa mitego ya kisheria ya mawakili.

Unafahamu kwenye issue hii Mbowe ni kiongozi wa chama cha upinzani? Hili swali tata.

Ieleweke Mbowe hasimamishwi kwenye kesi hiyo kama Mwenyekiti w Chadema, ila kama Mbowe.

Angesema anafahamu angeanzisha mgogoro mwingine.

Ndio maana wakili msomi Kibatala amerudia mara 2 ili angalau akimkosa kwa ile ya kwanza amnase ile ya pili
 
Kwanini hutaki kuamini kuwa hamjui? (japo uwezekano ni mdogo).Utamlazimisha vipi mtu akubali kuwa anamfahamu mtu flan mbele ya Mahakama?...
Tena swali linasema unafahamu kwenye issue hii. Sasa jiulize issue ni Kesi. Je shahidi anajua kuwa imefunguliwa kama kiongozi wa upinzani? Shahidi alikuwa sawa kukwepa
 
Shahidi: (Tigo) Baada ya Kuifikiria Sana anaitaja 0719933386 🤣 🤣 , hawa mashahidi wanakumbuka mpaka number za simu walizoona 2020 ila hawamjui Mbowe
 
Mbona Mbowe alidanganya kavunjwa mguu na wasiojulikana kumbe alibugia Faru John?
Alidanganya account zake zilifungwa na TRA kumbe ugonvi wa kifamilia?
Mbona hukudemuka Kama leo?
M
Hayo unayajuwa wewe mke wake, mimi siyajui.
 
Michezo ya kuigiza tupu, seems any TISS dikkcchead anaweza kuomba records za mtu za simu bila kutoa maelezo ya maana au kibali cha mahakama, na junior ofisa mmoja tuu bila any protocol anaweza kuachia records zote, lakini unategemea nini nchi inayofunga internet nchi nzima kwa sababu boga mmoja tuu kaamua kwa sababu mke wake kamuudhi au anafikiri mnaongea sana ni saa ya kulala, tuna safari ndefu sana watanzania
 
Shahidi no 5 mbwembwe nyingi... training training..degree ya sheria ha ha ha

Ngoja tusubiri atakavyoumbuka na leo kibarua chake Tigo kinakwenda kuisha.
Tigo haina jukumu la kulinda usiri wa wateja wake. Kuliweka wazi hili limenifanya kuitoa line ya tigo kwenye simu yangu. Kumbe hata wife anaweza kwenda kwa Alfred na kupata taarifa za mcharuko wangu. Mtu mmoja anamaliza kila kitu, no check and balance.
 
Kinachosababisha Tanzania kuwa na maendeleo duni ni upindishaji wa haki uliokithiri. Cku zote kiongozi akishakua mtu wa kupindisha haki na kudhulumu basi nchi inaishi kwenye laana.

Vijana wa ccm ambao kwa sasa wamepotea kwenye ramanj na mmoja wao kula namba gerezani, waliyafanya haya wazi wazi huku wakijinadi kua wanaripoti moja kwa moja ikulu na hakuna wa kuwatisha. Vyombo vinavyohusika na haki vililiona hili na vilikaa kimya kwa sababu tu hakuna haki nchini.

Leo yupo Mbowe, ushahidi unaotolewa na washitaki wake unaonekana wazi kwamba unatengebezwa ili tu haki ipokonywe. Hakuna wa kulisemea hili.

Ipo mifano mingi mingine ya haki zilizopindishwa na hakuna wa kulisemea watu wamebaki kulia na kuugulia maumivu ya ndani kwa sababu tu ya kuishi kwenye nchi ambayo haki ya watu wake siyo kipaumbele.

Mungu atufungue macho na midomo, ili tuyaone na tuyaseme. Nchi ipone. La sivyo tutabaki kuona maendeleo kwa majirani
 
Back
Top Bottom