Kwa hiyo ugaidi ulikuwa financed na hiyo laki tano!!?? ama sijaelewa!??Wakili wa Serikali: Unakumbuka Ilikuwa ni wakati gani?
Shahidi: (Tigo) walitaka Taarifa za mihamala ya Fedha kutoka 01 June ya 2020 Mpaka 31 June ya 2020 Nikaingia Kwenye Computer Nikaziona
Bla bla bla .....
Wakili wa Serikali:Shahidi tufafanulie Maneno Ya Juu kama Sender Maana yake nini
Shahidi (Tigo): Send My Op namba 0719933386 Receiver 0787555200 Miamala wa Tarehe 20 Kiasi 500,0000 Tarehe 20 July 2020 Saa 2 na Dakika 21na Balance Ilikuwa 2.3M
Ni kweli mkuu, Mahakama haiwezi kumfunga mtu miaka 30 ama maisha bila kuwa na ushahidi usio acha shaka yoyote. Kutengeneza ushahidi kunahitaji IQ kali sana.Wakati defense itakapokuja kutoa defense (siyo leo), watafute experts kwenye relevant fields km ballistics, IT, residents wa Rau kuja challenge the prosecution to prove beyond reasonable doubt what they are saying. Hii ya leo ina mashimo mengi
Kwahiyo akaunti ya mteja siyo siri tena, eti akaunti ilibaki na shs2.3m. Hii siyo haki ya faragha kwa mteja.Wakili wa Serikali: Unakumbuka Ilikuwa ni wakati gani?
Shahidi: (Tigo) walitaka Taarifa za mihamala ya Fedha kutoka 01 June ya 2020 Mpaka 31 June ya 2020 Nikaingia Kwenye Computer Nikaziona
Bla bla bla .....
Wakili wa Serikali:Shahidi tufafanulie Maneno Ya Juu kama Sender Maana yake nini
Shahidi (Tigo): Send My Op namba 0719933386 Receiver 0787555200 Miamala wa Tarehe 20 Kiasi 500,0000 Tarehe 20 July 2020 Saa 2 na Dakika 21na Balance Ilikuwa 2.3M
Kamuulize babako Kingai kilichomkuta kizimbani 🤣🤣🤣🤣🤣Ndiyo nani huyo Kitabala[emoji3][emoji3][emoji3]
hahaha hii kesi ina udambwi dambwi mwingi, yani mwanasheria hajui jina lake linaishia na herufi gani what a joke?
Bado inahitajika ifanyike siri hata kwenye scenario muhimu namna hii? Ili kufacha nini kwenye swala zima la miamala??Kwahiyo akaunti ya mteja siyo siri tena, eti akaunti ilibaki na shs2.3m. Hii siyo haki ya faragha kwa mteja.
Huyu Mwanasheria wa Tigo sijui kasomea wapi hata maswali anajikanyaga.
Huyu wa leo ameanza na 31 June, akija kibatala atasema 32 June..Si kweli,unamsingizia,kwanini hamtaki kutulia na kusoma vizuri? Yeye ndiyo kawarekebisha hao waliochanganya kati ya R na L.So far huyu shahidi wa leo yupo vizuri maana anachokisema ni kile anachokifahamu,ndiyo maana mpaka sasa sijaona mbwembwe za maswali ya Mawakili wa utetezi kama kwa Mashahidi waliotangulia.Ngoja tusubiri Kibatala na yeye atakuja na style ipi ya kumhoji.
hapa pia ni tatizo la mfumo kama unaruhusu hii kitu.Matata: Wewe Ndiyo umepokea Barua, wewe Ndiyo umeprint Taarifa, na Wewe Ndiyo Umepeleka Majibu Polisi
Kibatala ndo ana maswali ya kijinga tu, kuna muda ukimfatilia unaona kabisa anaenda pale kuprolong muda tu.Si kweli,unamsingizia,kwanini hamtaki kutulia na kusoma vizuri? Yeye ndiyo kawarekebisha hao waliochanganya kati ya R na L.So far huyu shahidi wa leo yupo vizuri maana anachokisema ni kile anachokifahamu,ndiyo maana mpaka sasa sijaona mbwembwe za maswali ya Mawakili wa utetezi kama kwa Mashahidi waliotangulia.Ngoja tusubiri Kibatala na yeye atakuja na style ipi ya kumhoji.
shughuli ishaanzaMatata: Kwa kuzingatia Umuhimu wa Usiri wa mteja Nisomee Kifungu cha 34 cha Sheria Ya Makosa ya Mtandao
Shahidi (Tigo): 34(i) Disclosure of Data.........
Matata: Utakubaliana na Mimi kwamba Pale panapohitajika Taarifa Ya Uchunguzi Police ambaye ni Ofisa anaweza Kuomba Taarifa Kwenu?
Shahidi (Tigo): Hapo anaongelea Ongoing Trafficking Data siyo Stored Data
Matata: Mh Jaji naomba Kielelezo
unataka msiba mzito huko swukwuma-gangeroo?MUNGU akasimame na Mbowe na wenzake haya makatili yapigwe pigo kubwa sn hata ya kufiwa na watoto
MUNGU akasimame na Mbowe na wenzake haya makatili yapigwe pigo kubwa sn hata ya kufiwa na watoto
Kamuulize babako Kingai kilichomkuta kizimbani [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]