impongo
JF-Expert Member
- Feb 18, 2015
- 8,764
- 7,758
Inasikitisha mnoMteja wa mitandao ya mawasiliano ya simu iliyopo JMT hana haki yoyote ya faragha, ndo mwanasheria anachotuambia hapa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inasikitisha mnoMteja wa mitandao ya mawasiliano ya simu iliyopo JMT hana haki yoyote ya faragha, ndo mwanasheria anachotuambia hapa
Chadema inapaswa tufungue mtandao wetu sasa, au sio bwashee? Maana hata hii mwingine sidhani kama haitashirikiana na serikali kufuchua mambo yetu ya sirini,ikitokea imeombwa.Kumbe TIGO huu ndio mtindo wenu?
Bro I guarantee you hii mitandao ya simu hapa kwetu kwenye suala la privacy ni 0..
Ukifahamiana hata na secretary mpeleka chai kwa boss, ana print taarifa za yeyote we mpatie namba tu..
Kweli nakuambia..
lakini laana ya kusingizia capital offence kama ya mbowe INAKULA MPAKA KIZAZI CHA NNE. , kwahiyo jamaa hapo amenukuu Bilblia
Mwezi ujao tunasherehekea miaka 60 ya Uhuru!Inasikitisha mno
umehamia mtandao gani mkuu?Hadi hapa nilipo mimi sio mteja wa huo mtandao...
Hizi nchi zetu mkuu zenye mambo ya kubambikiana, majambazi na kila maovu juu ya watu, hivi kama taarifa za mtu zinapatikana kirahisi tu hivyo huoni kama ni hatari??
Tufanye tu ndani ya jeshi kuwe na askari asiye mwadilifu mwenye cheo kikubwa na ana mtandao wa majambazi hivi, na wewe uwe ni mtu tajiri mwenye mpunga wako kama Mo wa Simba yule...huu ni mfano tu
makampuni mengi ya simu nafikiri yanafanya kosa hili, dogo naanza kumhurumia maskini hana kosa ila Police wamemponza.
Swali: Shahidi unasema siku hiyo ulikuwa chips? 😅Watakuja kukuelewa mwisho wa hii kesi,kwa sasa wao wanafurahia mbwembwe za mawakili wa utetezi na maswali yao ya “uliprint au screenshot”[emoji3][emoji3]
hii move ya serikali na mbowe waigizaji wanapata taabu kukaa kweye script kwa muda wote wakikutana na mawakili wa mbowe wanayumbishwa vibaya sana utagundua tu mashadidi wa ccm wamelishwa matango mwituHao mashahidi 24 ni wengi sana... Na ndio maana story inavurugika... Inakosa mpangilio, continuity ni mbovu, wahusika hawawezi kuelewa script wala kuishi ndani ya script
Hii ilianzia kwenye kesi ndogo ya nyuma. Wao wanajikita kwenye maswali mepesi mambo makubwa yanawapita. Jaji aliwashangaa kwa jinsi walivyo ruhusu ushahidi kupokelewa wakati walikuwa na nafasi ya kuupinga na hii ilikuwa obvious hata kwa asiye mwanasheria. Sina uhakika wa maswali ya kunywa mo energy nk yalikuwa na tija kama ambavyo maswali yao hanaelea kwenye vitu vidogo na kuacha kuonyesha mapungufu ya mashataka. Kwa mfano wameng`ang`ania usiri wa taarifa za mteja wa TIGO ambao sidhani kama unaathari iwapo taarifa zilizotolewa zina ukweli. Suala la Usiri wa wateja na TIGO wangewaachia wateja huko nje ya kesi. Hapa issue taarifa ni ya ukweli au siyo na waprove hivo mahamakamani . Hii si kesi ya ushabiki kwani kosa moja mtu anafungwa hivyo umakini unatakiwa uonekane na sisi wafuatiliaji tuchambue kwa umakini badala ya ushabiki kutawalaYes, hata mimi nimegundua tatizo ni wewe.
Lissu alichofanyiwa sio ugaidi..Wewe ndiyo umeleta hiyo tafsiri yako ya Biblia,yeye kawaombeq laana ya vifo watoto,na mimi namuombea kwa Mungu hivyo vifo vianzie kwa Watoto wake mwenyewe
Shahidi (Tigo): Kifungu hicho hicho cha 34Hii ilianzia kwenye kesi ndogo ya nyuma. Wao wanajikita kwenye maswali mepesi mambo makubwa yanawapita. Jaji aliwashangaa kwa jinsi walivyo ruhusu ushahidi kupokelewa wakati walikuwa na nafasi ya kuupinga na hii ilikuwa obvious hata kwa asiye mwanasheria. Sina uhakika wa maswali ya kunywa mo energy nk yalikuwa na tija kama ambavyo maswali yao hanaelea kwenye vitu vidogo na kuacha kuonyesha mapungufu ya mashataka. Kwa mfano wameng`ang`ania usiri wa taarifa za mteja wa TIGO ambao sidhani kama unaathari iwapo taarifa zilizotolewa zina ukweli. Suala la Usiri wa wateja na TIGO wangewaachia wateja huko nje ya kesi. Hapa issue taarifa ni ya ukweli au siyo na waprove hivo mahamakamani . Hii si kesi ya ushabiki kwani kosa moja mtu anafungwa hivyo umakini unatakiwa uonekane na sisi wafuatiliaji tuchambue kwa umakini badala ya ushabiki kutawala
point 3.Matata: Pamoja na Barua kuja Bila Kutaja Kosa na Wewe Ukatoa Taarifa hiyo bila Kutaja Kosa kama Inavyosema katika Kifungu 34 Je Hukuona hilo ni Jambo lisilostahili ili uwakatalie Waende Mahakamani Kulinda Usiri wa wateja wenu?
Mwenzao ndo alisema terrorism ni mambo ya Utalii,Miongoni mwao 21 ni Polisi
naiona kesi nyingine hapa ya haki ya privacy ya mtumiaji wa mtandao - TIGO jiandaeni kujibu mashitaka, mmetoa info za mtumiaji wenu bila kufuata sheria inavyotaka.Kibatala: Ulimtaarifu Mteja Mwenyewe kwamba Kuna Taarifa zako za Kiuchunguzi zinahitajika?
Shahidi: Hapana
Kibatala: Kama Kampuni Mlichukua Hatua yoyote ya Kumlinda Mteja Kwa kwenda Mahakamani Kupinga au Kuandika Barua kwenda TCRA, Mlichukua hatua kama hiyo?
Shahidi: Hapana
Kibatala: Hakuna Polisi Wana abuse power zao
Shahidi (Tigo): Sifahamu
Kwanini na sisi tusifungue kesi? Iko tuachane na hizo myths maana sioni zikitusaidia.Lissu alichofanyiwa sio ugaidi..
Azori sio ugaidi..
Saanane sio ugaidi..
Akwelina sio ugaidi..
Mbowe kuhoji katiba--- GaiDiiii kubwa la maadui...
Hivi unajisikia rahaaaaa!! wakati moyoni unajua ukweli ila unajichetua tu...