Yaliyojiri Mahakama Kuu Kesi ya Mbowe na Wenzake: Shahidi Afred Kapala wa tiGO atoa Ushahidi, Kesi kuendelea, Nov 03, 2021

Yaliyojiri Mahakama Kuu Kesi ya Mbowe na Wenzake: Shahidi Afred Kapala wa tiGO atoa Ushahidi, Kesi kuendelea, Nov 03, 2021

Kumbe TIGO huu ndio mtindo wenu?
Chadema inapaswa tufungue mtandao wetu sasa, au sio bwashee? Maana hata hii mwingine sidhani kama haitashirikiana na serikali kufuchua mambo yetu ya sirini,ikitokea imeombwa.
 
Bro I guarantee you hii mitandao ya simu hapa kwetu kwenye suala la privacy ni 0..
Ukifahamiana hata na secretary mpeleka chai kwa boss, ana print taarifa za yeyote we mpatie namba tu..
Kweli nakuambia..

Naona mkuu...
 
lakini laana ya kusingizia capital offence kama ya mbowe INAKULA MPAKA KIZAZI CHA NNE. , kwahiyo jamaa hapo amenukuu Bilblia

Wewe ndiyo umeleta hiyo tafsiri yako ya Biblia,yeye kawaombeq laana ya vifo watoto,na mimi namuombea kwa Mungu hivyo vifo vianzie kwa Watoto wake mwenyewe
 
Hadi hapa nilipo mimi sio mteja wa huo mtandao...

Hizi nchi zetu mkuu zenye mambo ya kubambikiana, majambazi na kila maovu juu ya watu, hivi kama taarifa za mtu zinapatikana kirahisi tu hivyo huoni kama ni hatari??

Tufanye tu ndani ya jeshi kuwe na askari asiye mwadilifu mwenye cheo kikubwa na ana mtandao wa majambazi hivi, na wewe uwe ni mtu tajiri mwenye mpunga wako kama Mo wa Simba yule...huu ni mfano tu
umehamia mtandao gani mkuu?
 
makampuni mengi ya simu nafikiri yanafanya kosa hili, dogo naanza kumhurumia maskini hana kosa ila Police wamemponza.

Unamuonea huruma kwani baada ya hapa nini kitampata? Au mtaenda kumvizia mmshikishe adabu kwa kukubali kutoa ushahidi?
 
Watakuja kukuelewa mwisho wa hii kesi,kwa sasa wao wanafurahia mbwembwe za mawakili wa utetezi na maswali yao ya “uliprint au screenshot”[emoji3][emoji3]
Swali: Shahidi unasema siku hiyo ulikuwa chips? 😅

Hizi mbwembwe za mitandaoni bwana.
 
Hao mashahidi 24 ni wengi sana... Na ndio maana story inavurugika... Inakosa mpangilio, continuity ni mbovu, wahusika hawawezi kuelewa script wala kuishi ndani ya script
hii move ya serikali na mbowe waigizaji wanapata taabu kukaa kweye script kwa muda wote wakikutana na mawakili wa mbowe wanayumbishwa vibaya sana utagundua tu mashadidi wa ccm wamelishwa matango mwitu
 
Yes, hata mimi nimegundua tatizo ni wewe.
Hii ilianzia kwenye kesi ndogo ya nyuma. Wao wanajikita kwenye maswali mepesi mambo makubwa yanawapita. Jaji aliwashangaa kwa jinsi walivyo ruhusu ushahidi kupokelewa wakati walikuwa na nafasi ya kuupinga na hii ilikuwa obvious hata kwa asiye mwanasheria. Sina uhakika wa maswali ya kunywa mo energy nk yalikuwa na tija kama ambavyo maswali yao hanaelea kwenye vitu vidogo na kuacha kuonyesha mapungufu ya mashataka. Kwa mfano wameng`ang`ania usiri wa taarifa za mteja wa TIGO ambao sidhani kama unaathari iwapo taarifa zilizotolewa zina ukweli. Suala la Usiri wa wateja na TIGO wangewaachia wateja huko nje ya kesi. Hapa issue taarifa ni ya ukweli au siyo na waprove hivo mahamakamani . Hii si kesi ya ushabiki kwani kosa moja mtu anafungwa hivyo umakini unatakiwa uonekane na sisi wafuatiliaji tuchambue kwa umakini badala ya ushabiki kutawala
 
Wewe ndiyo umeleta hiyo tafsiri yako ya Biblia,yeye kawaombeq laana ya vifo watoto,na mimi namuombea kwa Mungu hivyo vifo vianzie kwa Watoto wake mwenyewe
Lissu alichofanyiwa sio ugaidi..
Azori sio ugaidi..
Saanane sio ugaidi..
Akwelina sio ugaidi..

Mbowe kuhoji katiba--- GaiDiiii kubwa la maadui...

Hivi unajisikia rahaaaaa!! wakati moyoni unajua ukweli ila unajichetua tu...
 
Wakili: Kwahiyo polisi wakikuomba taarifa yoyote bila kuwa na kosa kwenye barua utamkatalia au utampa

Shahaidi: Nitampa

#UpdatesKesiMbowe #MwananchiUpdates
 
Hii ilianzia kwenye kesi ndogo ya nyuma. Wao wanajikita kwenye maswali mepesi mambo makubwa yanawapita. Jaji aliwashangaa kwa jinsi walivyo ruhusu ushahidi kupokelewa wakati walikuwa na nafasi ya kuupinga na hii ilikuwa obvious hata kwa asiye mwanasheria. Sina uhakika wa maswali ya kunywa mo energy nk yalikuwa na tija kama ambavyo maswali yao hanaelea kwenye vitu vidogo na kuacha kuonyesha mapungufu ya mashataka. Kwa mfano wameng`ang`ania usiri wa taarifa za mteja wa TIGO ambao sidhani kama unaathari iwapo taarifa zilizotolewa zina ukweli. Suala la Usiri wa wateja na TIGO wangewaachia wateja huko nje ya kesi. Hapa issue taarifa ni ya ukweli au siyo na waprove hivo mahamakamani . Hii si kesi ya ushabiki kwani kosa moja mtu anafungwa hivyo umakini unatakiwa uonekane na sisi wafuatiliaji tuchambue kwa umakini badala ya ushabiki kutawala
Shahidi (Tigo): Kifungu hicho hicho cha 34

Matata: Kwa hiyo utakubaliana na Mimi wewe Umeombwa Kitu Kingine na wewe Ukatoa Kitu Kingine

Matata: Utakubaliana na Mimi kwamba Kama Mtu ameombwa Taarifa na akakataa na Yule Police Officer alitakiwa kwenda Mahakamani Kuomba Court Order

Shahidi (Tigo): NI sahihi

Matata: Naomba Unionyeshe Kwenye hii Barua ni wapi Pameonyeshwa Kosa Kwenye hiyo Barua ambapo hiyo namba Inatuhumiwa kwenye Kosa la Jinai

Shahidi: Hakuna

Matata: Kuna Kosa Umeandika hapa Wakati Unajibu Barua hii Kuhusiana na Uchunguzi

Shahidi (Tigo): Kuna Dash Hakuna Kosa

Shahidi (Tigo): Hapakuwa na Haja hiyo

Matata: Kwa hiyo Polisi Wakikuandikia Barua ya Kutaka Taarifa Bila Kukutajia Makosa

Shahidi (Tigo): Nitampa
 
Miongoni mwao 21 ni Polisi
Mwenzao ndo alisema terrorism ni mambo ya Utalii,
sijui hawa watatuletea Swanglish gani jamani, ngoja tusubiri, usikute wanabembelezwa kupigwa vyeo nserereko ili wakashuhudie uongo!!!
 
Kibatala: Ulimtaarifu Mteja Mwenyewe kwamba Kuna Taarifa zako za Kiuchunguzi zinahitajika?

Shahidi: Hapana

Kibatala: Kama Kampuni Mlichukua Hatua yoyote ya Kumlinda Mteja Kwa kwenda Mahakamani Kupinga au Kuandika Barua kwenda TCRA, Mlichukua hatua kama hiyo?

Shahidi: Hapana

Kibatala: Hakuna Polisi Wana abuse power zao

Shahidi (Tigo): Sifahamu
naiona kesi nyingine hapa ya haki ya privacy ya mtumiaji wa mtandao - TIGO jiandaeni kujibu mashitaka, mmetoa info za mtumiaji wenu bila kufuata sheria inavyotaka.
 
Lissu alichofanyiwa sio ugaidi..
Azori sio ugaidi..
Saanane sio ugaidi..
Akwelina sio ugaidi..

Mbowe kuhoji katiba--- GaiDiiii kubwa la maadui...

Hivi unajisikia rahaaaaa!! wakati moyoni unajua ukweli ila unajichetua tu...
Kwanini na sisi tusifungue kesi? Iko tuachane na hizo myths maana sioni zikitusaidia.
 
Back
Top Bottom