Yaliyojiri Mahakama Kuu Kesi ya Mbowe na Wenzake: Shahidi Afred Kapala wa tiGO atoa Ushahidi, Kesi kuendelea, Nov 03, 2021

Yaliyojiri Mahakama Kuu Kesi ya Mbowe na Wenzake: Shahidi Afred Kapala wa tiGO atoa Ushahidi, Kesi kuendelea, Nov 03, 2021

Hadi hapa nilipo mimi sio mteja wa huo mtandao...

Hizi nchi zetu mkuu zenye mambo ya kubambikiana, majambazi na kila maovu juu ya watu, hivi kama taarifa za mtu zinapatikana kirahisi tu hivyo huoni kama ni hatari??

Tufanye tu ndani ya jeshi kuwe na askari asiye mwadilifu mwenye cheo kikubwa na ana mtandao wa majambazi hivi, na wewe uwe ni mtu tajiri mwenye mpunga wako kama Mo wa Simba yule...huu ni mfano tu 😁

Kupitia taarifa zako za kimtandao, unaweza ukajulikana mambo yako kibao, hadi pattern za namna unavyoroam mjini (kupitia locations za minara ya simu)

Unakuja tekwa au vamiwa na jamaa wanaojua mienendo yako yote na unashangaa wamejuaje hadi miamala hako...
Tufanye tu ndani ya jeshi kuwe na askari asiye mwadilifu mwenye cheo kikubwa na ana mtandao wa majambazi hivi, na wewe uwe ni mtu tajiri mwenye mpunga wako kama Mo wa Simba yule...huu ni mfano tu 😁

Huu si mfano ila ndivyo askari wengi walivyo! umemuona Kingai, Mahita na hata Sirro! Tunalindwa na majambazi I tell you!! Nilishaandika hapa kila mtu ajilinde! fanya mazoezi piga chuma sana! na kama unamiliki mguu wa kuku tembea nao uheshimu!
 
MUNGU HUFANYA KAZI NA WANADAMU.Imani yangu inaniambia watu humlilia Mungu na Mungu anajibu.Case study Marehemu JPM watu walimlilia MUNGU sana juu ya maovu yake MUNGU akamchukua.
Vipi ndugu zako waliokufa ulimlilia Mungu pia?
Au nyie huwa hamufi kwa kuwa ni wema Sana?
Vipi watoto wadogo wanaokufa wakati wa kuzaliwa, ulimlilia Mungu pia ili wafe?
 
Hao mashahidi 24 ni wengi sana... Na ndio maana story inavurugika... Inakosa mpangilio, continuity ni mbovu, wahusika hawawezi kuelewa script wala kuishi ndani ya script
mashahidi wenyewe kama ni hawa hao 24 tunapotezea muda tu. hamna kesi ya ugaidi humo labda waibadilishe iwe ya kuita watu wakusanyike bila kibali na kuwahutubia kuhusu katiba mpya.

Ni kweli so far kila shahidi anatoka kwenye script.. sasa Mahakama nayo inahitaji continuity kwa mashahidi wote ili itoe ruling ambayo CCM wanaitaka.
 
Pia kuna jambo naona huyo Wakili kama atakua kakosea (wengine mtasahihisha)...

Katika utendaji kazi kwenye makampuni ya simu, wakili hana ruksa ya kuchungulia server yoyote inayohifadhi taarifa za wateja...

Kwa kawaida kazi hiyo hufanywa na System Admin, ambao hao watu huwa ni sehemu ya IT Dept...

Taarifa binafsi za watu sio za kila mtu tu kuziona au kuweza kuzifikia...
Inawezekana kabisa kwa mitandao mingine, lakini sio kwa TIGO!
TIGO wanakuuza dakika yoyote
 
Kibatala alichomfanyia huyu wakili wa tigo, kampuni ya tigo haitakuja kukubali tena kupeleka mawakili wao kwenye kesi ambazo kibatala yupo

Kwasababu hawakutegemea kua upepo utabadilika na wao ndio watakua wako kwenye hatari ya kuchafuliwa, walijua position ambayo wao wapo ni salama.

Jamaa kaenda moja kwa moja kwenye kampuni na kulioneshea udhaifu wao, kwamba kuna wateja ambao wanaibiwa pesa zao zikiwa bado kwenye account za tigo pesa

Hiyo ni hatua mbaya sana kama kampun inajikuta inajichafua kwenye ishu ambayo haina maslahi nayo.

Hoja inayotengenezwa hapo ni kwamba kivyovyote vile itavyokua ni lazima itaonesha udhaifu wa kampuni katika kulinda mali za wateja wao, hata kama wanaofanya hivyo ni waajiriwa wa mtandao

Kwa hiyo hapo itaonesha hata hayo madai ambayo yameletwa na wakili ni batili kwasababu kunauwezekano mkubwa yakawa forged na watu ambao wanalengo la kumtia hatiani mbowe
 
1635856996977.png
 
Amenifurahisha Sana shahidi wa leo mitego yote ya wakili msomi kameibugia Kama uji wa asubuhi.

Wakili msomi: Unamufahamu Mbowe?
Shahidi msomi: Simufahamu.

Mbowe hajulikani mngesema Slaa,bwana makelele,Lowassa hapo sawa.
 
Tigo hii kesi tayari imewatafuna na wao, naona Shahidi anajing'ata tu vidole utasema binti anayetongozwa...

Kwa maswali ya Matata na Kibatala ni wazi kuna makosa hapo kutoa taarifa za mteja pasipo taratibu...

Shahidi mwenyewe mwanasheria lakini hajielewi...
 
Kibatala alichomfanyia huyu wakili wa tigo, kampuni ya tigo haitakuja kukubali tena kupeleka mawakili wao kwenye kesi ambazo kibatala yupo

Kwasababu hawakutegemea kua upepo utabadilika na wao ndio watakua wako kwenye hatari ya kuchafuliwa, walijua position ambayo wao wapo ni salama.

Jamaa kaenda moja kwa moja kwenye kampuni na kulioneshea udhaifu wao, kwamba kuna wateja ambao wanaibiwa pesa zao zikiwa bado kwenye account za tigo pesa

Hiyo ni hatua mbaya sana kama kampun inajikuta inajichafua kwenye ishu ambayo haina maslahi nayo.

Hoja inayotengenezwa hapo ni kwamba kivyovyote vile itavyokua ni lazima itaonesha udhaifu wa kampuni katika kulinda mali za wateja wao, hata kama wanaofanya hivyo ni waajiriwa wa mtandao

Kwa hiyo hapo itaonesha hata hayo madai ambayo yameletwa na wakili ni batili kwasababu kunauwezekano mkubwa yakawa forged na watu ambao wanalengo la kumtia hatiani mbowe
Tigo ni wezi, sana niliiacha kutumia tigo mwaka 2011 baada ya kuibiwa vocha, miaka kumi saiz sijawahi tumia tigo, kila nikinunua naishia kuitupa bila kuitumia
 
mwanasheria anatia huruma, Tigo wameumbuka kutofuata sheria ya privacy ya info za mteja. Yaani police akienda kutaka data zozote, za mtanzania yoyote wanampatia.... Tigo nyie hapa mnalo.
Hawa tigo ni wa kuwatosa tu. Vibwengo wakubwa.
Wanazidiwa hata na JF katika suala la kumlinda mteja. Maxence hapa amepambania haki ya Privacy ya JF members hadi mahakamani.
TIGO wanashindwa kuonesha japo nia tu ya kulinda privacy?
Kumbe uamuzi wangu wa kuitupa line ya TIGO ulikuwa sahihi sana.
 
1635857331547.png

-----
"Pegasus is spyware developed by the Israeli cyber arms firm NSO Group that can be covertly installed on mobile phones running most versions of iOS and Android. The 2021 Project Pegasus revelations suggest that the current Pegasus software can exploit all recent iOS versions up to iOS 14.6." Wikipedia
 
Back
Top Bottom