mangikule
JF-Expert Member
- Jun 11, 2012
- 6,369
- 5,866
Tufanye tu ndani ya jeshi kuwe na askari asiye mwadilifu mwenye cheo kikubwa na ana mtandao wa majambazi hivi, na wewe uwe ni mtu tajiri mwenye mpunga wako kama Mo wa Simba yule...huu ni mfano tu 😁Hadi hapa nilipo mimi sio mteja wa huo mtandao...
Hizi nchi zetu mkuu zenye mambo ya kubambikiana, majambazi na kila maovu juu ya watu, hivi kama taarifa za mtu zinapatikana kirahisi tu hivyo huoni kama ni hatari??
Tufanye tu ndani ya jeshi kuwe na askari asiye mwadilifu mwenye cheo kikubwa na ana mtandao wa majambazi hivi, na wewe uwe ni mtu tajiri mwenye mpunga wako kama Mo wa Simba yule...huu ni mfano tu 😁
Kupitia taarifa zako za kimtandao, unaweza ukajulikana mambo yako kibao, hadi pattern za namna unavyoroam mjini (kupitia locations za minara ya simu)
Unakuja tekwa au vamiwa na jamaa wanaojua mienendo yako yote na unashangaa wamejuaje hadi miamala hako...
Huu si mfano ila ndivyo askari wengi walivyo! umemuona Kingai, Mahita na hata Sirro! Tunalindwa na majambazi I tell you!! Nilishaandika hapa kila mtu ajilinde! fanya mazoezi piga chuma sana! na kama unamiliki mguu wa kuku tembea nao uheshimu!