Yaliyojiri Mahakama Kuu kesi ya Mbowe na wenzake. Superitendent Jumanne Malangahe atoa ushahidi, Kesi imeahirishwa hadi Nov 9, 2021

Yaani mashahidi 1,2,3, 4 na tano wote walipoona vitu kwenye mfuko wa nyloni moja kwa moja wakasema ni madawa ya kulevya.😀😀
 
Yaani mashahidi 1,2,3, 4 na tano wote walipoona vitu kwenye mfuko wa nyloni moja kwa moja wakasema ni madawa ya kulevya.😀😀
usiwakee maneno mdomoni-walisema yanayosadikiwa
 
Mahita akasema walipanga kufanya vitendo vya kigaidi pamoja na kumdhuru sabaya kwa spray ya sumu na viongozi wengine, je viongozi wengine kina nani, shahidi anarudi "sabaya", wengine kina nani, "sabaya" taja majina ya viongozi wengine waliotakiwa kudhuriwa, "sabaya"🤣🤣🤣🤣🤣🤣 na pengine hata hawakuwa na silaha yoyote wamefanya kama ya kumpea pembe za ndovu yule baba wa watu.....na ukijiuliza bastola ya risasi tatu ndo ingeua sabaya na wengine, ikate magogo iweke barabarani, ilipue vituo vya mafuta miji yote waliyoitaja, alafu yooote hayo yanapangwa kufanyika mikoa yote kamati za ulinzi na usalama hawajawai jua, ila kingai na mahita sjui na jumanne wakayajua!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…