Yaliyojiri Mahakama Kuu kesi ya Mbowe na wenzake. Superitendent Jumanne Malangahe atoa ushahidi, Kesi imeahirishwa hadi Nov 9, 2021

Yaliyojiri Mahakama Kuu kesi ya Mbowe na wenzake. Superitendent Jumanne Malangahe atoa ushahidi, Kesi imeahirishwa hadi Nov 9, 2021

Hata kamati ya ulinzi na usalama mkoa haijui achilia mbali ile ya wilaya walikokwenda kukamata watuhumiwa! Yaan magaidi wako tayari hadi kuua lakini kamati ya ulinzi na usalama haijui adi wameenda kuokolewa na kina kingai kutoka arusha na arumeru, wanataja watu watatu kuwa pamoja lakini walikamata wawili, mbona yule wa tatu hawanyooshi maelezo? Eti akapotea kimazingara watu hawakuwa na hata Mia mbovu mfukoni alielekea wapi??? Mwingine akasema walikuwa kibanda cha kusajili line, wengine grocery, mwingine kibanda umiza, mahita akasema umati ulikusanyika watu wakajaa pale wakachagua mashahidi leo anasema akaenda kwenye vibanda vyao kutafuta watu mhhhh!

Umeona holes nyingi sana! Kibaya zaidi ni kuhusu hao washukiwa kuwa watatu mpaka hatua za mwisho. Huku timu za wakamataji zikiwa mbili na zote hazielezi mtu wa tatu alikuwa nani!! Binafsi nadhani huyu wa tatu alikuwa Urio na ndio informer so wasingeweza kumkamata!! Sasa ninadhani hata jaji hawezi kuwa na picha ya sehemu ya tukio. Mara grocery, kibanda umiza, mara wamekaa tu, mara walikuwa wakisajiri laini za simu! Mara watatu wamekaa na kutambulika, lakini kuanzia hapo ghafla ni watu wawili. Mara wameenda Arusha kumtafuta Lijenje lakini wakiwa hawajui jina la dadake wala anaishi wapi lakini walienda anyways!!

Mashahidi wengine wanasema ilikuwa ni madawa ya kulevya, namba 08 kawa smart - kasema inafikiriwa ni madawa ya kulevya. Na bado hizo kete haziko mahakamani kama madawa au si madawa. Risasi tatu dhidi ya moja iliyoletwa mahakamani.

Sitashangaa nikisikia jamaa walikuwa na silaha wanayoimiliki isiyo halali lakini hawakuwa wahalifu. Ikimbukwe walikuwa sio hata waajiriwa wa Mbowe bado so sijui silaha hiyo ingehusika vipi na magogo ya barabarani, maandamano yasiyo na kikomo. Jamhuri itashindwa kuunganisha silaha hii na ugaidi!! Ni
kwa sababu kumiliki silaha hakumfanyi aliyenayo kuwa mhalifu kimatendo. Kumiliki kihalali hakumfanyi mtu kudhaniwa hataitumia kuua mtu mwingine - actually wanapewa ili wauwe. Je bastola hii ilikusudiwa kumuua mtu specific, that is hard to prove mpk sasa.
 
Leo kesi inasua sua, mawakili wa CCM wamekosea kuandika vifungu vya sheria, uhondo hamna leo, wacha nitandike kirango nijinyooshe mgogo.
 
Baada ya mvutano wa kisheria baina ya Mawakili wa Utetezi na Jamhuri juu ya mahakama kupokea Hati ya kukamatia mali iliyowasilishwa na Shahidi wa 8, Jaji ameahirisha kesi hiyo mpaka kesho Novemba 09, 2021 ambapo atatoa uamuzi, kama hati hiyo ipokelewe au isipokelewe.
 
Seriously??????!!!!!!!
 
Huyo jaji nae ni tabulalasa..
 
yes, ni kuondoa mawakili ili mahakama iamue kama inakufunga maisha tujue moja - hamna kesi humo ni fambastic.
Mnamsikiliza lema yeye mbona anaongelea vichochoroni huko
 
Baada ya mvutano wa kisheria baina ya Mawakili wa Utetezi na Jamhuri juu ya mahakama kupokea Hati ya kukamatia mali iliyowasilishwa na Shahidi wa 8, Jaji ameahirisha kesi hiyo mpaka kesho Novemba 09, 2021 ambapo atatoa uamuzi, kama hati hiyo ipokelewe au isipokelewe.
Majaji wetu wengi hawaja jipanga ki sheria zaidi wako Green au ni majaji wa kisiasa lazima waende ku consult kwanza ili kupewa maelekezo sahihi.
 
Back
Top Bottom