Tatizo la mikesi kama hii hata wanaotumika hawajui kama wanatumika, hao mashahidi inawezekana kabisa walikuwepo katika hayo matukio yote bila wao kujua ni set up na wengi walikuwa wanafanya kazi zao za kila siku, hizi episodes kuna watu nyuma yake walishaandika kila kitu na ni wataalam kwelikweli na wamesomea na ujuzi wa miaka mingi sana, inawezekana hata hao wakuu wa mapolisi hawajui lolote zaidi ya kuchukua amri tuu na kupewa ushahidi kutoka juu, haya mambo ya state crime/ sponsored terrorism kwa raia wake yapo sana na especially kwenye nchi zetu maskini za kidkteta uchwara, nchi nyingi zilizoendelea walishaachana na huu upuuzi kwa sababu wana mahakama zao za uhakika na good lawyers all around wanaoweza kuiaibisha serikali anytime, kwa hii kesi sioni upande wa mashtaka wakithibitisha chochote kuna ugaidi wowote ulitokea au ulitaka kutokea, waliotengeneza hii case not very smart