Yaliyojiri Mahakama Kuu kesi ya Mbowe na wenzake. Superitendent Jumanne Malangahe atoa ushahidi, Kesi imeahirishwa hadi Nov 9, 2021

Leo katika mahakama Kuu askari aliyejitambulisha kwa jina la Jumanne Malangahe, amejitokeza kama shahidi wa nane wa upande wa mashtaka.

Askari huyu ni mmoja kati ya Askari wanaotuhumiwa kumdai rushwa ya TZS 200,000,000 Prof. mstaafu mzee aitwaye Prof Maeda. Baadaye walipunguza wakamdai TZS 100 m na mwisho eti kwa kumhurumia wakapunguza Mpaka wakapokea TZS 50 m.

Kwa mujibu wa Kamanda wa Takukuru Arusha, Jumanne na wenzake wamesimamishwa kazi kupisha uchunguzi.

Leo Jumanne ni shahidi mahakamani!
Daaaa ndo Askari wetu hao
 
Tatizo la mikesi kama hii hata wanaotumika hawajui kama wanatumika, hao mashahidi inawezekana kabisa walikuwepo katika hayo matukio yote bila wao kujua ni set up na wengi walikuwa wanafanya kazi zao za kila siku, hizi episodes kuna watu nyuma yake walishaandika kila kitu na ni wataalam kwelikweli na wamesomea na ujuzi wa miaka mingi sana, inawezekana hata hao wakuu wa mapolisi hawajui lolote zaidi ya kuchukua amri tuu na kupewa ushahidi kutoka juu, haya mambo ya state crime/ sponsored terrorism kwa raia wake yapo sana na especially kwenye nchi zetu maskini za kidkteta uchwara, nchi nyingi zilizoendelea walishaachana na huu upuuzi kwa sababu wana mahakama zao za uhakika na good lawyers all around wanaoweza kuiaibisha serikali anytime, kwa hii kesi sioni upande wa mashtaka wakithibitisha chochote kuna ugaidi wowote ulitokea au ulitaka kutokea, waliotengeneza hii case not very smart
kukamatwa na bunduki isiyosajiliwa maana yake ulikuwa unataka kufanya nini nayoO magaidi hao wafugwe tu
 
Leo katika mahakama Kuu askari aliyejitambulisha kwa jina la Jumanne Malangahe, amejitokeza kama shahidi wa nane wa upande wa mashtaka.

Askari huyu ni mmoja kati ya Askari wanaotuhumiwa kumdai rushwa ya TZS 200,000,000 Prof. mstaafu mzee aitwaye Prof Maeda. Baadaye walipunguza wakamdai TZS 100 m na mwisho eti kwa kumhurumia wakapunguza Mpaka wakapokea TZS 50 m.

Kwa mujibu wa Kamanda wa Takukuru Arusha, Jumanne na wenzake wamesimamishwa kazi kupisha uchunguzi.

Leo Jumanne ni shahidi mahakamani!
we akili yako itakuwa haikutoshi sasa si ni mtuhumiwa kwani nani kasibitisha kuwa walitenda kosa? wacha mbowe ahukumiwe tu tena anyongwe kabisa gaidi huyo
 
Polisi inatia aibu sana !
 
Nami nimesema ni mtuhumiwa.

Shida iko wapi?
 
Polisi inatia aibu sana !
kwani mtuhumiwa ameshatiwa hatani mpaka asitoe ushahidi/ hayo makesi yenu ya kubambika kwa huyo askari hayatafanikiwa wacha watoe ushahidi kwa hilo gaidi mbowe lifungwe maisha hatutaki magaidi nchini kwetu
 
Kwahiyo mbowe akifungwa ndio utakubali kukata govi!!?
 
Leo katika mahakama Kuu askari aliyejitambulisha kwa jina la Jumanne Malangahe, amejitokeza kama shahidi wa nane wa upande wa mashtaka.

Askari huyu ni mmoja kati ya Askari wanaotuhumiwa kumdai rushwa ya TZS 200,000,000 Prof. mstaafu mzee aitwaye Prof Maeda. Baadaye walipunguza wakamdai TZS 100 m na mwisho eti kwa kumhurumia wakapunguza Mpaka wakapokea TZS 50 m.

Kwa mujibu wa Kamanda wa Takukuru Arusha, Jumanne na wenzake wamesimamishwa kazi kupisha uchunguzi.

Leo Jumanne ni shahidi mahakamani!
Walichukua 100m mkuu mstaafu alikua na 70m akaomba msaada wa 30m kutoka kwa mdogo wake hao majambazi walikua saba...
 
Hii kesi hata kama watamfunga Mbowe. Sirro na Kingai wanapaswa kufukuzwa kazi.
Yawezekana Rais Samia kaamua iendelee ili awaumbue hawa watu, kumbuka hii kesi ilikuwa fomulated kipindi cha yule DPP aliyetumbuliwa. wacha tuone hadi mwisho.

Ila hakuna Jaji ama Hakimu duniani anaweza kumtia hatiani mtu wa ushahidi huu ambao badala ya majibu unaacha maswali kichwani, namuonea huruma Jaji wa sasa hivi naona hata yeye ataikimbia hii kesi kabla ya hukumu kama CCM watanganganiza Mbowe afungwe.
 
kukamatwa na bunduki isiyosajiliwa maana yake ulikuwa unataka kufanya nini nayoO magaidi hao wafugwe tu
Unachotoa ubidamu kesa hela ya CCM.Kumbuka Kuna Mbingu .Hiyo bunduki Mimi ninajua ,wewe unajua ,Kingai anajua na HAKIMU anajua kuwa Ile ni bunduki ya kubabikiwa Kwa sababu ya issue za kisiasa.Vaa utu MUNGU wetu ni mmoja
 
Hawaii kuondoa mawakili,waendelee kuwepo ili waijuze dunia jinsi utawala huu ulivyo Maana bila wakili msomi Peter Kibatala na jopo lake maovu yao hayatajulikana.Polisi ni watu.hatari sana.
ILI, kama mafarisayo, waje kushuhudia uwepo wa Mungu wa haki. AMEN
 
Back
Top Bottom