YES
Shitaka ni kunuia kutenda matendo ya kigaidi kinyume cha sherai ya ugaidi ya 2002
1. Kakusanya watu- rejea Kingai, Kaaya, tigo, airtel, forensic
2. Mwenzake kuwa na bastola isiyosajiriwa-rejea Kigai, msajiri wa bunduki, mtaalam wa milipuko
3. kafadhili- rejea rejea Kingai, Kaaya, tigo, airtel, forensic
Ila kuamini kuwa Mbowe ni Gaidi ni roho mbaya tu!!Accelerate Justice
From the field to the lab and the courtroom… solve cases faster.
CELLEBRITE imemmaliza Mbowe ndiyo maana Mh. Kibatala ameamua kuuliza kirefu cha DCI-Daima Chadema Inashindwa
kazi kweli kweliWakili wa Serikali Robert Kidando: Mheshimiwa Jaji Wakili anataka Misamiati Migumu ya Technology shahidi anaweza asijue ni nini Kinaongelewa.
Kibatala: Mheshimiwa Jaji hakuna hoja hapo, Mbona shahidi anajibu, Eti ndugu shahidi, ni kweli huelewi Kitu?
Shahidi: Ndiyo sielewi
Kibatala Kwanini sasa ulikuwa unajibu?
Shahidi wa Jamhuri: Kimya
Eti naye huyu Ni mpelelezi, hajui kitu lakini ajibu...ajicontradict
Ndio Maana mawakili wanajenga msingi wa utetezi wa Mashahidi wa Jamhuri uwe ni wa mashaka.Hawa ndio Celebrate shahidi anasema haiwezekani kudukuliwa!
Kama sever za kampuni mama zilidukuliwa sembuse huo mtambo mdogo?
Security breaches
On 12 January 2017, it was reported that an unknown hacker had acquired 900 GB worth of confidential data from Cellebrite's external servers. The data dump includes alleged usernames and passwords for logging into Cellebrite databases connected to the company's my.cellebrite domain, and also contains what appear to be evidence files from seized mobile phones, and logs from Cellebrite devices.[27] The dumped data suggested Cellebrite sold its data extraction products to countries such as Turkey, the United Arab Emirates and Russia.[15]
Vulnerability report by Signal
Main article: Cellebrite UFED § Security
Kwa vile fact za mashtaka zina futika uta kuta jaji hakuandika hayo majibu. Maana na huyu jaji ni wakili wa serikali kwenye hii kesiWewe na inspector uchwala
Oooh nimesoma IFM
Oooh waisrael walitufundisha mtu wao alitoka Nairobi
Oooh nilisoma IT ila misamiati ya kubatala migumu
Oooh maabara sijakuta chochote kibaya wala sms za kuzungumzia sabaya au kulipua vituo vya mafuta na maandamano
Yaan timu hizi Mungu wa ajabu zinapatikana upande ule tu.Upande ule mwingine wengi viazi yaan hata sijui kwa nn... kilichonishangaza zaidi ni wakili wa serikali kuwa na mashaka juu ya uwezo wa shahidi (guru la IT Polisi) kushindwa kujibu "misamati migumu" ya IT anayoulizwa na (ngwini) Kibatala! Ajabu sana! Hii timu ya Kibatala wanaonekana kuwa multi-sectoral; multi-purpose; multi-processing hawa jamaa! Nyanja zote wanajua - sheria wao, IT wao, uchumi wao, security wao, telecom wao (Airtel, Tigo), duh! Brains zao zina GB nying mno!
Eti ndani!Mwingine alienda zake kaburini asikorudi sembuse ndani mahabusu.Mungu yupo na bado ana nguvu ya kumtoa huko ndaniImekuuma ee-pole na Mbowe bado yuko ndani mahabusu pole sana
Kaulize kashinda ngapi tena ngumu ili usiwe kiazi tenaBrain GB nyingi ila waulize wameshinda kesi ngapi? Wakili hasifiwi kwa maswali ya kijinga bali kesi ngapi kashinda
Kielelezo cha watu tupu kichwani ni upande uliopo wewe.Na unavyoandika nahisi unahitaji cheoHongera Jeshi la polisi kwa kwenda na wakati wa kidigital- watu kama Mbowe wamesumbua sana nchi hii sasa wanashikwa kirahisi
Accelerate Justice
From the field to the lab and the courtroom… solve cases faster.
CELLEBRITE
Sawa. halafu?Sawa- mwisho wa siku ya leo jaji atasema hivi
Nairisha kesi mpaka kesho washitakiwa wote akiwemo Mbowe watarudi rumande ya Magereza
Kama ni type yako inawezekana hana ajualoNi sawa lakini kwa akina Mh. Kibatala 90% comedy - ndio maana mnafurahia na kucheka mkisahau nahau ya kiingereza
WHO LAUGHS LAST LAUGHS LONG
Sasa wewe unaamini Inspector wa Polisi hajui kirefu cha DCI