Yaliyojiri Mahakama Kuu Kesi ya Ugaidi inayomkabili Mbowe na wenzake. Shahidi wa 12 Luteni Denis Urio kuendelea kutoa ushahidi Februari 01, 2022

Yaliyojiri Mahakama Kuu Kesi ya Ugaidi inayomkabili Mbowe na wenzake. Shahidi wa 12 Luteni Denis Urio kuendelea kutoa ushahidi Februari 01, 2022

Huyu Jaji atakipata cha Moto kama alichokipata Ponsio Pilato. Pilato Aliambiwa na wakuu wa makuhani (mawakili wa serikali) kwamba usipo muhukumu kifo mtu huyu (yaani Yesu Kristu - Kwa kesi hiini Mbowe) wewe utakuwa sio rafiki wa Kaizari ( Yaani Kwa kesi hii ni Yule Chui Jike). Tutafika hapo. Patamu hapo???

Mashitaka kama yaleyale ya kwamba Yesu anataka kuchukua Dola anajiita mfalme wa wayahudi kama ambavyo Mbowe anajitangazia kuchukua Dola sijui la wapi. Kwamba atakata Miti na masoko Ka Yesu alivyosema ataporomosha hekalu na kulijenga ndani ya siku tatu!

Huyu Urio ndio Yuda wa wakati wa Yesu na akina Kingai ndio akina Kayafa. Hiiii!
Nadhani Wayahudi ni CCM na wafuasi wa Yesu ndio People's wa M4C!
Point Sina Cha kuongeza, vivid reference.
 
YAANIBADO HUONI UGAIDI ? AKILI MAKALIONI KWELI WEWE
[emoji849]
Screenshot_20220129-204049.jpg
 
Kwahiyo kutokula kwangu ndo uandike ufala?Unadhan wote umu ni wajinga?Watu tunajua A-Z mbewa wewe
Unajua nini-
  1. Mbowe ni crimanal by creation and he will remain so. Ungekuwa unajua A-Z usingemuamni hata kidogo
  2. Mbowe kavuta bangi toka ajue kwenda chooni peke yake
  3. Kama wewe ndiye na mmoja wa mufuasi wake-BIRDS OF A FEATHER FLOCK TOGETHER
Kwa hiyo hongera kwa kuwa pamoja na MBOWE
 
Wewe na mwanakwendazake hamuwajui Wachaga! Mwenzako aliwaona Wachaga ni mafisadi, Wewe unawaona makatili! Hamwajui tu Wachaga!! Ukatili Upo kwenu mnaoweza kuua watu na kuwaweka kwenye mfuko na kuwatupa baharini, mlioweza kunfanyia Lisu vile na sasa mnawatesa watu kwa kesi ya mchongo!
Kesi ya mchongi mhusika mkuu ni meku Urio!
 
Wakuu,Sasa mbona Urio ndio Gaidi mwenyewe maana meseji zote za Kigaidi anatuma yeye na Upande wa Mbowe hakuna meseji yoyote ya Ugaidi na hela zenyewe akitumiwa zingine anakula yeye.[emoji28][emoji28][emoji28]

Shahidi: "Naomba nitumie nauli ya Ku' mobilise nikutane nao Moro"

Kibatala: Nani alikuwa anaomba nauli

Shahidi: Mimi ndiye niliye kuwa naomba

Kibatala: Baada ya wewe kuomba nauli ndiyo Mbowe sasa akatuma TSh 500,000

Shahidi: Ndiyo

Kibatala: Nitafutie Meseji yoyote ambayo Mbowe anatoa wazo yeye la kutuma yeye TSh 500,000

Shahidi ametumia dakika 1 kutafuta hapa..

Shahidi: HAKUNA

Kibatala: Tafuta Meseji ya Tarehe 20 July 2020 Saa 2 na Dakika 24 na Sekunde 02

Shahidi: "Usiwe unatumia namba yako Kutuma Pesa, Tumia Wasaidizi Wako au Wakala Kutuma"

Kibatala: Ni nani aliyetuma Meseji hii

Shahidi: Mimi Denis Urio

Kibatala: Kuna Sehemu Yoyote Katika Kielelezo namba P 34 ambayo Freeman Mbowe amekueleza wewe Kwamba Mtumie Njia ya Mawasiliano Mbadala Kwa Sababu Simu Siyo Salama

Shahidi: Meseji ya Mwisho

Kibatala: haya tusomee

Shahidi: "Hellow Bro Nilishindwa Kupokea Simu yako Sababu Deshi Deshi"

Kibatala: kwa hiyo kwa Tafsiri yako Ndiyo Kasema kuwa Simu Siyo Salama

Shahidi: Ndiyo Nilivyo Tafsiri

Kibatala: Katika hiyo Meseji ya Mwisho Kuna Neno simu siyo Salama

Shahidi: Hakuna

Aisee,Mungu wa ajabu sana,Acha ikae hivyo.[emoji419]
 
Unajua nini-
  1. Mbowe ni crimanal by creation and he will remain so. Ungekuwa unajua A-Z usingemuamni hata kidogo
  2. Mbowe kavuta bangi toka ajue kwenda chooni peke yake
  3. Kama wewe ndiye na mmoja wa mufuasi wake-BIRDS OF A FEATHER FLOCK TOGETHER
Kwa hiyo hongera kwa kuwa pamoja na MBOWE
Rubbish
 
My instinct tells me kuwa, jamhuri inalenga ku achieve kitu tofauti kabisa na matokeo ya mahakamani.
Actions have consequences! They will be held to account one way or another!
 
Huyu Jaji atakipata cha Moto kama alichokipata Ponsio Pilato. Pilato Aliambiwa na wakuu wa makuhani (mawakili wa serikali) kwamba usipo muhukumu kifo mtu huyu (yaani Yesu Kristu - Kwa kesi hiini Mbowe) wewe utakuwa sio rafiki wa Kaizari ( Yaani Kwa kesi hii ni Yule Chui Jike). Tutafika hapo. Patamu hapo???

Mashitaka kama yaleyale ya kwamba Yesu anataka kuchukua Dola anajiita mfalme wa wayahudi kama ambavyo Mbowe anajitangazia kuchukua Dola sijui la wapi. Kwamba atakata Miti na masoko Ka Yesu alivyosema ataporomosha hekalu na kulijenga ndani ya siku tatu!

Huyu Urio ndio Yuda wa wakati wa Yesu na akina Kingai ndio akina Kayafa. Hiiii!
Nadhani Wayahudi ni CCM na wafuasi wa Yesu ndio People's wa M4C!
Mkuu haya mafunuo yako nime kopi.. Bwana Mungu wako akubariki
 
Kibatala: Unakubaliana na Mimi sasa Mahakama itabidi ipime neno lako dhidi ya Mbowe kwa sababu Hapakuwa na Mtu Mwingine pale
Hapa kuna mtego mkubwa. Being two in the secret, basi maneno yako hayapashwi kuaminiwa na mahakama
 
Naona sasa kibatala anamtengenezea shahidi hali ya kujihisi msaliti asiyefaa kwa kuwasukumia wenzake kwenye moto.
Hii itamtesa kisaikolojia hata baada ya kumaliza ushahidi wake, na pengine mahusiano yake na wanajeshi walio ktk utendaji wake
Shahidi kesha athirika sana huyu. Haoni tena umuhimu wake... Daah!
Screenshot_20220131-132558.png
 
Mh. Kibatala hamuwezi Luteni Urio- hapo kaingia choo cha kike hata akiendelea kumdodosa hadi jumatatu ijayo hapati wala habadilishi kitu.
  1. Mbowe alimtafuta Urio- fact, ushahidi upo na haubadiliki
  2. Mbowe aliomba atafutiwe vijana- fact, ushahidi upo na haubadiliki
  3. Mbowe alimtumia hela- Fact, ushahidi upo na haubadiliki
  4. Mashahidi kadhaa wametoa ushahidi unaoungwa mkono na ushahidi wa Urio- Fact
Hizo fact zina establish kosa la ugaidi wanaloshikiwa nalo makomando na Mbowe? Kama ni kula njama ingredient muhimu kwenye hiyo offense ni kukutana na kuwa na collective agreement ( consensus id idem) ( meeting of mind) vyote hivyo hakuna vilipokuwa established kwenye hii kesi. Nimekujibu kifupi sababu nakula lunch. KARIBU
 
URIO anazidi kufanya maisha ya Kingai na genge lake yawe magumu

Kibatala:
Tu assume Kama Mambo yalivyotokea, Je Freeman Mbowe alikuomba umtafutie Walinzi au Magaidi

Shahidi: Kwa hao nilikuwa namtafuta Watu Wa Kwenda Kufanya kazi ya Ulinzi

Kibatala: Yeye Mbowe alitaja Walinzi au hakutaja

Shahidi: Alitaja Walinzi

Kibatala: Ndiyo Maana wewe Uliwatafuta watu wa kwenda Kufanya Ulinzi

Shahidi: Ndiyo

Kibatala: Mbowe alikwambia ukionana nao Uwaambie hivi na Vile?

Shahidi: Hapana
 
My instinct tells me kuwa, jamhuri inalenga ku achieve kitu tofauti kabisa na matokeo ya mahakamani.
Ni sawa kabisa kujisafisha, kuondoa uovu. Kuthibitisha kwamba kumbe ndani yake kulikuwa au kuna uovu.
Hapa kuna kuzaliwa upya ili ya kale yawe yamepita na tazama yanaenda kuwa mapya.
Mfichua siri aende kuwa shujaa.
 
Back
Top Bottom