Yaliyojiri Mahakama Kuu Kesi ya Ugaidi inayomkabili Mbowe na wenzake. Shahidi wa 12 Luteni Urio kuendelea kutoa ushahidi Januari 31, 2022

Ila hawa askari wanadhalilishwa kwa kesi ya ajabu sana.
Wao walikwenda kupata ajila ya Ulinzi kwa nia njema lakini DC Sabaya akaona ndiyo fursa ya kupata sifa toka kwa magufuli akawatengenezea kesi ya mchongo ambayo inalidhalilisha jwtz
 
ooh luteni mpk degree...wapiii hehehehe, this is Africa bana
 
Lilenje yupo kwa mola kwa yeye aligoma kukubali ugaidi hewa akapigwa hadi kupoteza uhai
 

..walitakiwa watumie makachero / askari kanzu toka ktk jeshi la polisi, na sio vijana waliokuwa mtaani wakifanya shughuli halali za kujiingizia kipato.
 
PATAMU HAPA *
Kibatala: Si upige Hesabu Kutoka Tarehe 18 July 2020 Mpaka 24 July 2020 ni Siku ngapi

Shahidi: Sifahamu

Kibatala: Ni sahihi Kwamba Umeanza Kuwakusanya hawa baada ya Tarehe 20 July 2020

Shahidi: Ni sahihi

Kibatala: Na wewe ndiyo Ulikuwa Unawafahamu hawa wala Siyo Mbowe

Shahidi: Ndiyo

Kibatala: Unaweza Kutuisaidia Kuwa Kwanini Inspector Swila alifungua Faili la Kula Njama Tarehe 18 July 2020 Wakati Wakati Umekutana hawa Vijana Tarehe 20 Mpaka 24

Shahidi: Sijui sasa
 
Mfano mzuri afande swila alifungua jarida tarehe 18 July
Urio alikutana na watuhumiwa morogoro tarehe 20th July...

Je inawezekana hivi jarida likawa tayari huku watuhumiwa hata hawajakutana kupanga njama ?
Mpangilio bila kupitia. Huko waliko wanahamaki. Loop tumeumbuka
 
Utahira au uwendawazimu, dalili zake kubwa, mojawapo ni hii ambayo wewe unayo. Unasikia na kuona ambavyo havipo.

Kuna una wanafamilia, waombe wakufikishe Mirembe Hospital au hospital nyingine yoyote ambayo ina hudima kwaajili ya wenye matatizo ya afya ya akili.
 
Aisee,kweli binadamu tumeumbwa tofauti!
Huo ubongo hauutendei haki kabisa!It's a shame!
 
Unamaanisha marehemu sasa anafurahia hii kesi!!??
Kivuli chake kipo na kilikataa hiyo kesi mapema ingawa wewe kwa masilahi yako ukaiendeleza pasipo kujua kuwa inaenda kulidhalilisha jwtz
 
Njia ya muongo ni fupi sana huyo Lt Urio ameumbuka vibaya
 
Kuna maelekezo mengine hugomewa na mungu ndiyo maana Lt Urio amejikanyaga kajichanganya changanya mahakamani na endapo Jaji atatoa hukumu feki ajua mungu yupo anaona kila baya linaloendelea
Kwani wauaji hawajui kama kuna MUNGU
 
Huyu Zadriano Said,sijui alizaliwa njiti. Utio huyo kayakanyaga. Faili lilifunhuliwa July 18,yeye watuhumiwa kaanza kuwatafuta July 20. Bwana Zadriano said..hivi wewe kichwa NI pupusa? Au mwezi uko Kona,siku zimekaribia?
 
HUYU URIO ASILITHALIKISHE JESHI LETU. WANAJESHI NI MAKINI SANA. HAWAKO SIMPLE KAMA HUYU. NINA WASIWASI NA ELIMU YAKE CHEO CHAKE NA DINI YAKE.
 
Hivi hawa akina Mh. Kibatala unaweza ukatoa hela yako ukawalipa kwamba wanakutetea kweli??
 
Kibatala: Sasa Afisa wa JWTZ nimesoma tangu Wakati wa Willy Gamba, Luteni Unaitwa sehemu na Mtu ambaye humjui unaenda tu?
aaahh Kibatala umenikumbusha mambo ya Will Gamba (Number moja) na Boss wake Mwinyisudi na kiko lake mdomoni - ofisi zao pale karibu na Sukari Hse !!

JWTZ hawana mtu hapa, amekaririshwa ila bichwa zito kushika.
 
Yaani komandoo na mwanajeshi wa uzoefu wake, anatumika kama undercover lakini anashindwa rekodi vitu vidogo kama tarehe, muda, maeneo wakati akikutana na Mbowe!!

Huku akijua siku moja atapanda kwenye kizimba kutoa ushahidi usio na shaka yoyote???

Weird...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…