mzee, informer pia huwa anakamatwa na huwa anapigwa hadi vibao ili muendelee kuamini kwamba mpo pamoja naye, na kule lock up muendelee kutapika uchafu mbele yake wa namna gani mnataka kujitetea, na mwisho yeye anachomolewa anakuwa shahidi. ndivyo ilivyo. mwulizeni mwenyekiti wenu kwanini soon after uchaguzi alikimbia nchi, pamoja na kwamba hapakuwa na threat yeyote. na kwanini tundu lisu alikuwa na amani na kutukana kote kule wakati wa kampeni hakufanya kosa, lakini alipoona hao vijana wamekamatwa tu mbio ubalozi wa ujerumani, kwanini alikuwa haishi ubalozi wa ujerumani wakati wa kampeni?...cdm mnafikiri kwa kutumia nini aisee,ni nani aliyewaloga?