Yaliyojiri Mahakama Kuu Kesi ya Ugaidi inayomkabili Mbowe na wenzake. Shahidi wa 12 Luteni Urio kuendelea kutoa ushahidi Januari 31, 2022

Lisu zile damu ulizommwaga dodoma Mungu atazidai tu. Ulivyo Zezeta toka hiyo ishu ya ugaidi mwezi wa saba 2020 mnamshika mtu 2021 Kama ni gaidi angeshafanya yake kitambo. Wote wabinua pua tu mnatumwa kuuwa watu mnakubali kwa uzezeta wenu hamjiulizi kwanini wasiwatume watoto wao kuuwa?. Hawataki kuwapa laana ya DAMU za watu watoto wao wanawapa wajinga mnaokubali hovyo. Unamsifia Urio kwa lipi hapo zaidi ya Ujinga tu
 
Wengi wanaojadili hapa wamesahau ishu nzima ilivyo

Wamebeba ushabiki mpaka hawaoni ujinga wa upande wa kina kibatala

Mtu anarejea stori za willy gamba halafu anajiita msomi
Ila ujinga wa Kingai na Inpekta Swila wa kufungua kesi ya ugaidi mapema tarehe 18/7/2020 kabla informer Luteni Urio kupeleka taarifa za ugaidi tarehe 24/7/2020 unaona ni busara?

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Hakika Magufuli aliweka watu wabaya sana kama yeye hii yote Freeman Mbowe anayopitia ni mpango uliokuwa umesukwa na Mwendazake
Shetani uweka shetani
Akila za kupambana na beberu hii
 
Umewaza vizuri,lakini inahitaji nini kumrekodi mtu? Simu janja ya kawaida inarekodi kila kitu
Au tufanye Urio anasema kama alivyoambiwa na Mbowe,Sasa twambie tofauti na maneno ya Urio Kuna ushahidi gani mwingine utakao corroborate na maneno ya mdomo? Angalia vizuri Kwanza ,jalada la kesi lilifumguliwa kabla ya Urio kutoa taarifa kwa DCI,waliwezaje kuprempt kwamba Mbowe angefanya alichofanya wakati taarifa ilikuwa bado haijafika kwa DCI? Prima facie case hapo haitapatikana.Jinai ni ushahidi na ushahidi haiwezi kuwa maneno ya mtu mmoja ambaye hayana sapoti.
 
Hiyo jinai unayoisema iko wapi Sasa mkuu?
 
Kwa kulazimisha kushinda kama jadi yao. Siku zao nao zinahesabiwa.
 
kwangu mimi nimeshaona urio ni mtu gani hapa kwa dunia hii
 
Huyu shahidi, Luteni Denis Urio, ndie alikuwa mshirika mkuu wa Afande Ramadhan Kingai katika UBUMBAJI. Kama Yuda Iskariote, ndie alikuwa tumaini na tegemeo lao kuu katika kutimiza ukandamizaji uliyoanza kusherehekewa mapema na walio na hila za kishetani.
KWA jinsi wanavyokosa aibu na kuzidi kumchezea MUNGU, ninazidi kuamini kuwa mkono wake u karibu KUONEKANA tena. AMEN
 
Mkuu unashangaa hilo jeshi ili ambalo lipo chini ya Mabeyo. Mabeyo kashajichanganya kwenye mfumo ko hawezi kufanya lolote Kama mfumo ndio uliyofanya.
Hata akina Kingai wanabaraka za mfumo ndio maana wanajeuri ya kufanya wanachoendelea kufanya
 

Mkuu hujaja kuchukua x-ray YAkO!😁
 
KWA HIYO MBOWE ALIJITENGENEZEA KESI ILI AWE SHUJAA? AFUNGWE KAMA MANDELA AKITOKA AWE RAIS?
Hii ndo maana halisi ya kulipuka na kuweweseka na ndio moja ya dalili kuu za uwepo wa tatizo kwenye afya ya akili.
 
Ni kweli nami pia namuonea huruma, lakini yafaa nae awe tayari kufanya maamuzi magumu, ATUBU ili aweze kumrudia Mungu.
Aweze kupata nguvu na ujasiri wa kumkemea na kumkataa shetani na mambo yake yote. Huu utakuwa mwanzo wa kuisafisha nchi na TAIFA letu.
 
Kwamba dunia inamfuatilia Mbowe kwa lipi? Na kwamba inaweza kuizuia Tanzania kumfunga?! Ndiyo kinga yenu? Muulize X mass aliiilia wapi na leo analala wapi? Hii kesi mpaka 2026
Mpumbavu wewe. Laana iwe juu yako na kizazi chako chote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…