Yaliyojiri Mahakama Kuu Kesi ya Ugaidi inayomkabili Mbowe na wenzake. Shahidi wa 12 Luteni Urio kuendelea kutoa ushahidi Januari 31, 2022

Ikupendeze Mhe. Sheriff quorum yetu imetimia , MB tumejaza tunasubiri utujuze
 
Huyu urio ni Wa Mbowe, akina Kingai and co wamemtesa sana amefundishwa ushahidi. Tumuhurumie tu. Akina Kingai na Siro wamekasirika vibaya sana kwa maelezo haya ya Urio mahakamani.
 
“Tangu mwanzo Case Theory yetu ni kwamba Urio hatokei nyumbani wala hotelini, sababu amewekwa sehemu”….. [emoji276]
 
Na ukumbuke awali Lt Urio alikamatwa kama mtuhumiwa akateswa sana na hao hao akina kingai cha kushangaza leo kawa shahidi baada ya kununuliwa na akina kingai
Mkuu mbona unafaham sana. Huyu Urio hajanunuliwa anatetea uhai akina Siro na Kingai wamemtesa sana ndio wamemgeuza kuwa upande wao kuwatetea ili kumfunga Mbowe uzuri mmoja huwezi kunfunga mtu bila kumpeleka mahakamani. Sasa mahakamani kumekucha kwa maswali anayoulizwa na Wakili anaengoza jopo la mawakili kibatala.

Kingai, Siro and co wamekasirika vibaya sana kwa maelezo ya hovyo ya lt Urio mahakamani
 
Mi sasa hata sielewi,, hii case imefail,,, hivii kuna mtu anajidanganya kuna mtu atakua convicted hapo?
Nyie ccm tukiwambia nchi hii ina mfumo wa kupoteza watu na kuwabambikia kesi ndio uamini sasa huku wanataka kumfunga Mbowe kule Lt Linjenje haonekaniki!
 
Fuatilia kesi acha kumung'unya maneno.. Urio anajichanganya hapana ni nyingi kuliko ndio
 
Hajulikani alipo ajabu hii na Siro amjua sana MOSES LIJENJE ni Gaidi aweza leta dhahama kubwa kwa Watanzania.
 
Comedian Mh. Kibatala kaingia- mabu zangu wewee- hana kitu zaidi ya
  1. vichekesho
  2. kudharirisha mashahidi
  3. kudharirisha serikali
ila mwisho wa siku mteja anaenda jela
Nani kaenda chini ya wakili kibatala
 
Huyu Urio kumbe ni empty upstairs hivyo?

Mara park at your own risk mara tena parking ya staff.
 
Jalada lilifunguliwa hata kabla watuhumiwa wa ugaidi hawajakusanywa!!!.Mungu anazidi kuwaumbua!!!.Penye ukweli urongo hujitenga.
 
Yaani Mkuu achana asiyeelewa Urio Ni Mpumbavu wa mwisho Tena astahili kuwa mwanajeshi la nchi yetu ameonyesha siyo mwaminifu wamebaki wapumbavu wezie tu wanamtetea. Ameonana na mbowe amemwambia anataka watu wa kufanya ugaidi. Kama Ni mwaminifu angechukua hatua kwa mbowe tu siyo anawaingiza makomandoo wengine uku anajua anawapeleka kufanya ugaidi.mtu anamwezesha gaidi naye si gaidi tu. Pale mbowe alipomwambia tu alitakiwa kudili na mbowe peke take sababu hata hao kina adamoo mbowe alikuwa hawajui wametafutwa na Mpumbavu Urio. Kila aliye tahaira atamtetea tahaira mwezake Urio. Wenye akili Urio alitakiwa kuwa mmoja wa washitakiwa
Kama ni hivyo hao makomandoo wamekamatwa kwa nini?. Maana hao walienda kufanya kazi ya ulinzi na sio ugaidi. Sasa nani mbaya hapo?. Na hakuna sehemu walikaa kupanga ugaidi. Hapo wameonewa Sana.
 

"Kidando umetokana wapi na hili fala. Linasababisha nashindwa kuwabeba pale ndani. Ndo maana wenzangu walikimbia hii kesi kwa sababu walijua hamjui kujipanga. Hangay atanielewaje sasa? Hizi kesi za kkishenz hizi"

Ilisikika sauti ya Jaji huku aakifta jasho baada ya kesi
 
Kwahiyo chadema hawalipi Kodi za watanzania ila wanalipa huko ufipa hela za kutumia akina mnyika?
Jinga Sana.
 
Zezeta huyo Kaka Hana chochote anachowaza vizuri zaidi ya Ujinga tu. Yote yanini? Mbowe alipomwambia Urio juu ya Ugaidi Urio alipaswa kudeal na mbowe tu aliwaingiza kina adamoo ili iweje au ana visa nao uko jeshini? Alafu huyu mpuuzi comte anamtetea.
 
Huyu urio ni Wa Mbowe, akina Kingai and co wamemtesa sana amefundishwa ushahidi. Tumuhurumie tu. Akina Kingai na Siro wamekasirika vibaya sana kwa maelezo haya ya Urio mahakamani.
Nadhani pia familia yake imetishwa, ushahidi wa kubumba namna ile, kama walitumia njia hiyo basi ni kumtishia familia yake tu.
 
Zezeta huyo Kaka Hana chochote anachowaza vizuri zaidi ya Ujinga tu. Yote yanini? Mbowe alipomwambia Urio juu ya Ugaidi Urio alipaswa kudeal na mbowe tu aliwaingiza kina adamoo ili iweje au ana visa nao uko jeshini? Alafu huyu mpuuzi comte anamtetea.
Inashangaza,mtu anaongea kishabiki tu kama zezeta bila kujua kwamba mahakama inahitaji ushahidi kumtia mtu hatiani.Inabidi kujiridhusha kwamba jinai ilitendeka au ilipangwa kutendeka na aliueko mbele ya mahakama ndiye hasa aliyeitenda hiyo jinai.Kwenye kesi iliyoko mezani mpaka sasa haineshi jinai yoyote zaidi ya utterances za komando Urio kwamba Mbowe alimwambia.Mahakama itajiuliza,was there any slight movement that the accused had a common intention to commit an offense? No preparation what so ever.
 
wle watatu walikuwa kazini- wanaweza kutoka wakitaka wakati watakapotoa ushahidi wao na kudodoswa na mawakili wa serikali wakati wa utetezi ILA Mbowe mfungwa mtarajiwa kutoka mahabusu
Kwa kosa lipi? Atafanya ugaidi peke yake? Hakuna evidence hata moja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…