Yaliyojiri Mahakama Kuu Kesi ya Ugaidi inayomkabili Mbowe na wenzake. Shahidi wa 12 Luteni Urio kuendelea kutoa ushahidi Januari 31, 2022

Kesi ya ugaidi ilishafunguliwa kabla hata ya magaidi wenyewe kupatikana ama kufahamika! Duh!🤦🏾‍♂️ Ndo mambo ya mchongo haya!

Kibatala: Ni sahihi Kwamba Umeanza Kuwakusanya hawa baada ya Tarehe 20 July 2020...
Siku zote vitu vya kubumba havijawahi kumuacha mtu pasipo kumpa aibu ya maisha. Na mpaka sasa hii ndio kesi iliyokaa kijinga zaidi duniani. Na majaji wenye akili walistuka wakaacha kusikiliza kesi wakasepa.Sikuzote maneno ya kulishwa humletea shahidi tatu kubwa ktk historia ya maisha yake.

Mashahidi hawa ni binadamu wanastahili heshima na thamani.Hii kesi inafuatiliwa ulimwenguni na kinachoendelea ni fedheha kwa taifa tena fedheha kubwa.
 
Kukosa namba za simu muhimu kama ya DCI...
Kukosa description makini ya ofisi ya DCI...
Na mengineyo mengi yanaonesha kuwa Urio hajawai kuwasiliana wala kwenda ofisini kwa DCI.
Wawili hao hawajawahi kukutana!

NB: Kingai ni jambazi kama Sabaya na Makonda chini ya genge lao la wasiojulikana (task force).
 
Nadhani tulishakubaliana huyu bwana ni Luteni sio Kanali Sasa haya ya Kanali yanatoka wapi kilongosi?
 
One star vipi wakati hapo alipo ni two star?
Ukisema 1star general utaeleweka vizuri kuliko ulivyoandika!!
... hakuna mserereko kurudi nyuma; logically inatakiwa ieleweke.
 
John Okello alipindua nchi na hakua mwanajeshi. Ufaransa mfalme alipinduliwa na raia. Misri same.
 
Kanali atambe!!![emoji2] Sidhani hata huo umeja atafikia .

Kwanza anaweza rudi jeshini moja kwa moja court Marshal.Akajikuta kazi hana
Ndo kinachomsubiri baada ya kesi hii kuisha. Pamoja na kwamba makazini tunazimiana makosa ila kwa cheo chake amini kwamba kuna superior wake tayari anamsubiri kwa hamu ili afundishwe nidhamu kwa alichokifanya.
 
Je, ana ushahidi wa hayo anayoyasema? Urio is supposed to convince the court without doubts. He must have concrete evidences which up to now he has none.
mahakamani shahidi mmoja tu sio lazima aishawishi mahakama beyond reasonable doubt, ila, mkusanyiko wa mashahidi wote ndio unatakiwa kufanya hivyo.

Pamoja na kwamba shahidi mmoja anaweza kutosha kama atathibitisha, lakini hata asipothibitisha huwa wanaangalia na ushahidi wa wengine kama unaungana. kasome kitu kinaitwa circumstancial evidence.
 
Labda kama Mbowe aliongea kuhusu hizo hujuma na watu wengine apart from Urio na hao watu wana evidence labda recorded voice, sms etc. Lakini kama ni Urio peke yake na hakuna concrete evidences hakuna cha matofali, renta wala kupaua
hizo ni fikra zako, unaamini upo sahihi, ila kuna fikra za wengine ambao ndo wanaandia hukumu. wewe hukumu yako unaiandikia jf. pyuuuuu
 
i
Fuatilia kesi acha kumung'unya maneno.. Urio anajichanganya hapana ni nyingi kuliko ndio
ile kuthibitisha kwamba alikuwa anawasiliana na DJ, ina mchango mkubwa sana kwenye kesi ukiunganisha na ushahidi wa wengine. usiangalia kipengele kimoja tu. halafu, contradictions hizo zimeondoa ukweli kwamba urio aliwasiliana na dj? zimeenda kwenye root ya kesi? hujui kitu wewe.
 
aliyekwambia kesi ya jinai huwa inakufa ni nani? and the matter was still under investigation. unaweza kufanay kosa 20 years ukakamatwa leo. ndio jinai zilivyo. na kwa hao, tukio liliripotiwa kipindi kilekile wala hakukuwa na delay. kama umefuatilia ushahidi utagundua hilo.

ukija kwenye laana ya damu, ninaamini aliyemwaga damu ya yeyote, awe lisu au yeyote, atapata malipo yake, na amini usiamini, sio wale wanaoenda kuua tu hata wale ambao wamewatuma huwa wanagawana adhabu.

Wote tulisikitika kilichotokea kwa lisu, lakini pia hata yeye baadaye ametuumiza sana watanzania kwa kuwaambia wazungu wasituletee misaada tukome wananchi wa kawaida wakaumia sana na wale wa ikulu anaoshindana nao hawajawahi kulala njaa. kwahiyo hata yeye ametuumiza na Mungu atamlipia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…