Kesi ya Ugaidi ya Mbowe na wenzake inavutia sana sababu mpaka dakika hii sijaona shahidi mwenye credility toka upanda wa mashtaka. Denis Urio ni mwajiriwa wa JWTZ ,kwa hiyo kitu chochote anachofanya nje ya kambi lazima kipate baraka ya mkuu wa kambi
Je Denis Urio alimueleza hiyo issue ya Mbowe na wenzake kupanga ugaidi.? .Na kama alimueleza mkuu wa kambi basi na yeye atakuwa amemueleza mkuu wa majeshi ya .Ulinzi.Sidhani kama kuna Jina la Denis Urio kwenye kitabu cha wageni ofisini kwa DCI.
Ndio maana utetezi wake kuwa aliingia ofsini kwa kutoa kitambulisho chake kitu ambacho ni watu wachache wanaweza kumuamini.Hata hivyo Tanzania itaweza kuweka historia katika mapinduzi ya uongozi kwa mtu wa nje ambaye sio mwanajeshi kupindua nchi..Sidhani kama kulikuwa na CCTV kamera kipindi hicho ofisini kwa DCI zilizo mrekodi Denis Urio akiingia na kutoka